Saturday, June 26, 2010

WASANII KUTOKA TaSUBa KUKISANUA NORWAY..

wasanii hao ambao wanachaguliwa kila mwaka kwa ajili ya kwende kufundisha utamaduni wa mtanzania nchini humo (Norway..) majina ya watanzania hao waliopo huko ni SHABANI JABILI MBATTA,CONSOLATA KANGONGA NA HEMEDI MAEDA..na kwa upande wa Norway ata kwepo  INGRID KROG REMMEN NA IDA Cathrin Utvik
..wanatumia sanaa ya ngoma na vitu mbali mbali ndani ya utamaduni wa mtanzania kuweza kuwafundisha rafiki zao wa  Norway kwa kupitia muungano NO-TA..(NORWAY AND TANZANIA) .Sasa kabla hawajamalizia mda wao wa kuka nchini humo wame anda bonge la Tamasha ambao watalitupi jijini STARVANGER  kuanzia tarehe 22-27 mwezi wa nane ...

concert hili lita usisha wasani toka pande zote mbili kwa maana Tanzania na Norway..kuna waalimu Toka nchini Norway ambao pia wamekaa Tanzania kwa mda wa mwaka mmoja kwa ajili ya kufundisha sanaa mbali mbali toka nchini Norway..na wao watarudi nchini kwao kwa kuweza kuungana na wenzao toka Tanzania ili wasababishe hilo Tamasha kubwa...

ENGLISH VERSION OF THE STORY...

Students/artists who completed their studies at the institute of arts Bagamoyo (TaSUBa) who have been on a cultural exchange for a period of almost a year in stavanger since the summer of 2009 in (Norway) .will be holding a massive festival  in Stavanger along with their friends from Norway that have been teaching different choreography skills to the students in TaSUBa.. from the the 22-27 august as they prepare to leave the country and head back home...on line up from Tanzania i,Shabban Jabili Mbatta,Hemedi Maeda and the only girl is Consolata Kangonga. then the other side of the Norwegians will be Ida Cathrin Utvik and Ingrid Krog Remmen....

No comments:

Post a Comment