Saturday, June 26, 2010

JUPITER RECORDS WAMESHINDA BIG TIME

Studio ya jupiter records wamefanya vizuri kati ka zanzibar music awards mwaka huu 2010 ..naona kama ilikuwa blessing kubwa kwao...msanii wao DIDA ameshinda tunzo ya msanii chipkizi ,na vile vile Rico single kashinda tunzo na ngoma yake kali na Baby jay..then producer wa DIDA ,Aronem nae kashinda tunzo za prodyuza bora wa mwaka 2010 kisiwani hapa.wengine walio shinda ni mwana dada DORIKA kama msani bora wa kike ndani ya mziki wa kizazi kipya.na wengine wengi...so basically...kama masindano yote yanavyokuwa always kuna, winners and loosers..so thats wasup..

kitu kiigine ambacho nimeona ni kwamba trophy imebadilishwa...which was good..but..!!.. it looked like plastic..i was watching kwenye television so im not so sure but it looked like plastic..hope nilona vibaya ...so anyway hongereni ..loosers work hard next time

No comments:

Post a Comment