Mwana muziki RIRI week iliyo pita ,alipata mda wa kupumzika kidogo kutoka kwenye makazi yake ya ku promote album yake RATED R..mda wa kupumzika aliutumia kwenda kumcheck maza yake na wadogo zake kule Barbados...alikaa mda wa siku kama tatu .na kwa sasa amesha rudi nyumbani kwake jijini los angeles.siku ya jana alionekana na boyfriend wake matt kemp mcheza base ball nchini humo wakipata dinner eneo liitwalo Phillipe Chow's .
RIRI atamalizia tour yake nchini marekani mara baada kuzunguka sana nje ya marekani...
No comments:
Post a Comment