Ebana nime bahatika kutembelea maduka yanayo uza vocha kisiwani hapa,na nikambiwa na wenye maduka kuwa uuzaji wa vocha uko juu saana siku mbili hizi na ni wasani ambao wana zinunua so hatujuhi zinapelekwa wapi..nilivyo ambiwa hivyo , nikakumbuka kuwa tuna siku mbili tuu..! tuweze kupata radha ya zanzibar music awards kwa mara nyingine tena ndani ya kisiwa chettu kizuri...niwatakie tu kila la kheri wote ambao mna gombea tunzo hizo...
kwa kukumbusha pia mfanya kazi mwenzettu hapa Hits fm radio AYOUB BEBEE..yupo kati ka category ya PRODUCER BORA wa mwaka so support yenu pia mhimu kwake..
No comments:
Post a Comment