Thursday, June 24, 2010

STUNT YA KUUZA ALBUM

Ebana mimi nina swali ...wasani siku hizi hii stunt ya ohh..ela itaenda kwa watoto yatima, Watu wanao ishi na virusi vya ukimwi na halkadharika....hivi kuna mtu yeyote ambae amefuatilia swala hili na akaona kweli hio hela wanaipata watu hao kweli...??..Au kamekuwa ka mpango ka kudanganya watu wanunue album yako then pheeeeeeeeew..!!!!!!. mabovu yote mdomoni..

OK chali NEY WA MITEGO (ITAFAAMIKA)huyu jama ngoma yake hio hapo  imefanya fresh sana mwaka jana...lakini kwenye outtro yake kulikuwa na utata baada kuwa ,kuna ujumbe ambao inasemekana ali take shots kwa wakongwe wa game la bongo fleva..lakini tukiachana na huko mchiz naye katupia album yake mpya siku ya jana na amekiri kuwa mauzo yote yanenda kwa watotto yatima. ni kweli au ni publicity stunt..hapo sijuhi ..tukae tusubiri vilio au furaha toka kwa watoto hawo..

No comments:

Post a Comment