Wednesday, June 23, 2010

CONCERT LA NGUVU KWA HISTORIA YA HIP HOP .

Concert la nguvu  kwa historia ya hip hop litafanyika hivi karibuni kati ka majimbo mawilli nchini marekani...mkongwe na mfalme wa hip hop toka pande za BROOKLYN -Newyork city ..SHAWN CARTER "JAYZ" HOV, ROC ana majina kibao ataungana na mfalme kati ka anga za hip hop tokea jimbo la DETROIT..MARSHALL"EMINEM" MATHERS...Kwa kuweza kufanikisha jambo la kutupia show mbili za nguvu kati ka majimbo yote DETROIT na NEWYORK. kwa wadau wa hip hop ambao nime bahatika kuchonga nao wanasema ,hizi show mbili ndani ya DETROIT na NEW YORK CITY zitacha historia kwa upande wa hip hop..kwa habari nilizo zipata ni kwamba concert la NYC..litakuwa kwenye uwanja wa mpiira wa baseball uitwao YANKEES STADIUM..tarehe za concert hilo ndani ya yankees stadiumni hizi hapa

Mon 13 September 2010...New Yankee Stadium
ENGLISH VERSION OF THE STORY...

two hip hop legends SHAWN"JAYZ"CARTER and MARSHALL "EMINEM"MATHERS teamed up a couple of months ago and decided to throw 2 massive  concerts to hip hop fans of DETROIT and  NEW YORK CITY...the preparations are finally done and the concerts are on in the next couple of weeks ...at the yankees stadium it goes down

Mon 13 SepNew Yankee Stadium...

No comments:

Post a Comment