Mtoto Akipatikana uwa majukumu kuongezeka kwa kasi . ndio kitu ambacho tume kiona lakini kwa mwana dADA HUYU ANasema kuwa yeye itakuwa tofauti coz ataendelea kutupa ngoma kama kawa..lakini vile vile anasema ita take time kidogo kuzoea mazingira ya kuwa mama. Nazizi toka nchini Kenya anaye unda kundi la Necessary Noise na Wyre,Pamoja na lile la East Africa Bashment Crew ...... amejifungua hivi karibuni baada ya kuolewa kwa siri kwa zaidi ya miaka 2 sasa huku siri hiyo ya kuolewa kwake ilikua inajulikana kwa watu wake wa karibu wa familia tu...!
HONGERA DADA..
No comments:
Post a Comment