Thursday, June 17, 2010

HABARI TOKA BONGO MWEZI HUU

MARA NYINGI MAPLAY BOY HUTUMIA KINGA, NIKKI MBISHI NIAJE?

Wiki moja baada ya kudondosha ngoma aliyoiita Play boy na ndani yake kuelezea misimamo yako kwamba hawezi lala na dem mmoja mara mbili, rapa Nicky Mbishi amepata mtoto wa kiume.

Mtoto huyo amezaliwa siku moja na `tupac shakur yaani siku ya jana tarehe 16/ June
Leo asubuhi Nicky alituma msg kwa Dozen na msg yenyewe inasomeka kama ifuatavyo:-
Niaje Dozen? Yesterday was the day Tupac was born but 4hrs after you announced that my baby boy and my first born Malcom was born 2, so Nicky Mbishi is also Malcom’s Daddy… good Morning!

nikki amezaa na msichana wake ambae pia anasoma nae chuo kimoja kinachoitwa Mbeya Institute of Science And Technology.
KUTOKA BLOGUNI NAKUPA HONGERA SANA KUTULETEA KICHWA KIJACHO CHA HIP HOP.
Posted by djfatty at 4:05 AM 0 comments
DARK MASTER ; NIMEKAMATA COPY ZA KAZI ZANGU MWANZA

leo hii darkmaster aka mwanachemba toka Chemba samenitumia sms akidai kukamata baadhi ya copy ya kazi zake pamoja na kazi za washkaji zake zikiuzwa jijini mwanza.kazi yake hiyo ambayo sio orignal ni wimbo wake unaoitwa "NISIKILIZE"
Posted by djfatty at 3:01 AM 0 comments
Wednesday, June 16, 2010
HATIMAE BET AWARDS KUTUA AFRICA

Tuzo za BET itakuja kuleta gumzo na battle pia kwa upande wa Africa katika category mpya iliyotupiwa pale kati " BEST INTERNATIONAL ACT" na waliochaguliwa kushindaniwa ni Hip-Hop Panstula (South Africa), P-Sqaure (Nigeria), K’NAAN (Somalia), M.I (Nigeria), Estelle (UK), Kojo Antwin (Ghana), Sade (UK/Nigeria), Chipmunk (UK), Dizee Rascal (UK) na Corinne Bailey Rae (UK).

hongera kwa wote walichaguliwa ikiwa ni pamoja na K' NAAN representing home country, know what i mean?

BET AWARDS ZINATARAJIWA KUFANYIKA TAREHE 27 MWEZI HUU
Posted by djfatty at 6:58 AM 0 comments
ITS A BOY KWA NAAZIZ...HONGERA

Hongera kwa first lady wa Necessary Noize Nazizi ambae amejifungua mtoto wa kiume siku ya tarehe 13 june aliempa jina la TAFARAI.
pamoja na hilo lakini mwanadada alikuwa tayari kasharecord album for the future na sasa ndio wakati wake, atadondosha singles pamoja na video. HONGERA SANA DADA.. nakutakia maisha mema pamoja na mtoto wako
Posted by djfatty at 6:50 AM 0 comments
CHIDI BEENZ NA MZEE YUSUPH ULISHAISKIA HIYOOO

kaa tayari kwa collable ya msanii bora wa hiphop 4 years mfululizo CHIDI BEENZ na MZEE YUSUPH haijapatiwa jina bado soo, stay tuned.
Posted by djfatty at 3:08 AM 0 comments
Tuesday, June 15, 2010
THE SWEETEST PIPI KADONDOSHA PINI JIPYA

pipi ameachia pini jipya very lovely song jina FIRST TIME. sikiliza hapo juu
Posted by djfatty at 4:48 AM 0 comments
UTAFUTAJI MWINGINE WA NGAWIRA SIO JAMANI....



watu hawa walikuwa wakijaribu kuiba nyaya za umeme

They were trying to pull a hot 132,000 volt copper wire out of a conduit. Note the bolt cutter and the copper wire on the ground
Posted by djfatty at 4:36 AM 0 comments
Monday, June 14, 2010
WANAUME TMK NDANI YA TIGO COCO BEACH PARTY HATAAAARII





Timu ya wanaume family on the staaaaage
Posted by djfatty at 3:21 AM 0 comments
Saturday, June 12, 2010
Ngosha ze swagga Don LYRICS

ntro
Fid Q: So Swagtastik!!!
Naj: Ngosha ze Swagga Don x4
Verse 1:
(Fid Q)
Mc’z wanaenda down, ka Zim(babwe) dollars/
Mie sio bling, mie culture ka ZEMKALA/
Da brightest thang shining next to a diaMOND/
Niite Ghost Writter ninapo Blaze ka AMO/
Mara nyingi mie nina bahati kama Lotto Machines/
Si mtu wa adventures kama Frodo kwenye Lord of the Rings/
Niite Roscoe, ninapoSPEAK in Tongues ka Jenkinz/
Don kama Bosco, Mad kama Ice Helsink/
Unataka Bed fight? Mie nina King size na French fries kwa Breakfast/ T- bone stake na PRISON BREAK kiGangstar/
Tattoo plan kama Michael Scolfield/
Bruce lee wa Rap ya Africa, Rock city naigeuza Rap City/
Nina Gucci Lips namaanisha ziko Brown/
Materialistic wanapenda niwe around/
Sexy & Single na pia hufurahi nikiwa FREE/
Nilipenda 3 sum zaidi ya unavyoipenda track hii/
Trust me, ninahitaji wife and some gorgeous Kids/
Seen, mie sio bogus we una dance ka Lotus juu ya hii beat/
Mashairi kwangu Pipi, nayagawa ka Santa Claus/
Kazi na Dawa Marco puff 3 kitu BOUNCE/
Mademu hawapendi kuona unavyomdiss FID/
Wote nawaita Candy sababu they’re so SWEET/
I’m so 2010 sihitaji Pad or Pen,u so 2000 and late/
Na haulipuki ka Bin Laden/

Chorus:
( Naj) Ngosha ze Swagga don x8
2nd Verse:
(Fid Q) My Mama.. didn’t raise no Fool/
Ninavyo Bust a Rhyme… wananiita Leader wa new School/
Ngosha ze SWAGGA DON.. Uh uh usinidownload/
Hapa utapata ladha expensive zaidi ya iPhone/
Mie sio Superstar ni International I con/
I’m Internationaly known kama Tyson/
Flow iko so Universal kama yvone, CHAKA CHAKA/
Ladies and Gentlemen ni Rappers Rapper hapa/
Naweza kwenda Quick kama ROCKA nikawatisha kisha mkaa ‘’ We Love you FIDQ’’ U deserve girls… Q yuko stronger ka playa wa Baseball au Wrestling/ usiniite Paper Chaser mie nina Chase Dreams/
Kama una Pesa Jenga kabla haujaanza Pimp Rimz/
Jikomboe kama wanaojiunga na X treme/
Drive with care, coz Life has no Spare/ na piiiiiiiiaaaaaaa…,.
‘’ THEY SAY IM COOL LIKE FIRE & AND IM HOT LIKE ICE OH UYEAH… U FEEL WHAT I SPEAK COZ I SPEAK WHAT I FEEL OH YEAH’ X2

SING IT!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Posted by djfatty at 4:23 AM 0 comments
Thursday, June 10, 2010
KUTOKA TONGWE RECORDS, J RHYDER DOING WHAT HE DOES BEST

Huyu ndie producer J RYDER kutoka tongwe recrds pini kibao kesha zigonga,nothing ya joss mtambo, jos+jos ya joslin na jose mtambo na zingine kibao
Posted by djfatty at 4:29 AM 0 comments
SHIRIKI LIVE NDANI YA KIPINDI CHA BONGO FLEVA JUMAMOSI HII


KAMA UNADHANI WEWE NI SHABIKI MKUBWA WA MMOJA KATI YA HAWA WASANII WAWILI AY AU MWANA F.A. TUMA JINA LAKO NA MSANII UMPENDAE KATI YA HAWA WAILI KUPITIA fatty1020@gmail.com au cloudsfleva@gmail.com NA UTAPATA NAFASI YA KUSHIRIKI SHINDANO LIVE KUPITIA KIPINDI CHA BONGO FLEVA JUMAMOSI HII KWA KUJIBU MWASWALI YATAKAYOKUWA YANAMUHUSU AMA KUMUONGELEA SHABIKI HUYU ULIEMCHAGUA.

HAKIKISHA UNAMFAHAMU VILIVYO NA MAMBO MENGI KATIKA SAFARI YAKE YA MUZIKI.
Posted by djfatty at 3:50 AM 0 comments
LETTER TO THE BOSS AS WORLD CUP KICK OFF CLOSES IN



DEAR Sir/Madam

I wish to let you know that the FIFA World Cup is about to begin. This is not just any other tournament, it's the World Cup! Please note that
this tournament takes place every four years and a month to finish, i.e. from 11th June to 11th July for this year. During this period take note of the following:
1. I will be knocking off earlier than usual in order to watch the kick off of the first game.

2. Do not be surprised if I report a little bit late every morning, it will depend on the time the last game finishes.

3. Production will go up during this month as almost all employees will be happy and highly motivated (Check Maslow's Motivation Theories with Human Resource).

4. I know you are into other boring sports like golf, cricket, bowling, etc.Please if you want to fit in the work environment for the next one month,

try to know something about soccer, even asking a foolish question like"

Is Malawi playing tonight?" that is if you really want to fit in, or else no one will be a loner for one full month.

5. Greeting each other in the morning will change from "Good morning" to "How was the game last night?"

6. I will not accept to work overtime during this period as no amount of money can buy me to miss a game. Therefore make sure you don't give me any work after 16:30hours.

7. I will need to be up-to-date with the latest; therefore the first one hour

every morning is for accessing sports websites and other updates on the internet and also chatting with friends on phone.

8. Lastly, please do not think you can fire me should you decide to break any of the above rules as you will have to fire everyone.

Thank you for your understanding.

Yours faithfully,


Soccer Crazy Employee


Cc: -Management
-Union
-Human Right Consultative Council (HRCC)
-International Labour Organisation
-United Nations Council for Human Rights
-FIFA
Posted by djfatty at 3:24 AM 0 comments
WATENGWA WA WANAUME HALISI WAANZISHA KUNDI LAO


kundi la Wanaume lililotengwa kutoka kundi la TMK Wanaume Halisi

Kampuni ya Mpo Afrika imetangaza kusaini mkataba na kundi jipya litakalokuwa likiitwa Wanaume, likiundwa na wanamuziki walioachwa katika kundi la TMK Wanaume Halisi.

Akizungumza msemaji wa kundi hilo mapema leo ndani ya ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO,Hassan Umande alisema lengo la kuunda kundi hilo jipya ni kwa ajili ya kuendeleza sanaa na kuleta mabadiliko katika anga ya muziki wa kizazi kipya aka bongofleva hapa nchini.

"Mnajua waandishi, kiukweli kuna vikwazo vingi vilitokea mpaka tukaamua kujitenga ,yote hiyo kuepuka migongano ambayo kimsingi si ya lazima kwa sababu sote ni vijana na tunatafuta maisha,kwa hiyo kwa sababu tumetengwa basi tumeamua kuunda kundi la watu sita"'amebainisha Hassani Umande.

Hassani amewataja wasanii watakaounda kundi hilo kuwa ni Athuman Yahya (A.Man), Juma Mbelwa (Juma Jazz), Karim Kaiman (Kakaman), Abdul Ally (Mzimu), Richard Shauri (Rich One) pamoja na David Mpangile (Daz-p).

Alisema mpaka sasa wamesharekodi nyimbo tatu ikiwemo, mapenzi kitu gani?, Poa tu pamoja na Mukide.
haya sasa tuna wanaume halisi, wanaume tmk, na wanaume kazi kwenu mashabiki. tehe tehe tehe. habari kutoka kwa michuzi
Posted by djfatty at 3:03 AM 0 comments
BRAND NEW VIDEO..MAMANTILIE / USWAZI FEAR RAY C
Posted by djfatty at 2:37 AM 0 comments
Wednesday, June 9, 2010
HAPPY BIRTHDAY BIG BOSS JOSEPH KUSAGA 9TH JUNE

happy birthday big boss JOSEPH KUSAGA


MA KILA KINGA FLENGWA


reuben Ndege
Posted by djfatty at 6:06 AM 0 comments
UWANJANI JANA ILIKUWA NOOOUUUWMAAAAA

whats up.yes ilikuwa ni full ki tz hata kama tulijua lazima tuchapwe.SIO MBAYA SANAAAAA Brazil 5 Taifa Stars 1

fe'eh, b12 na petty man

fe'eh na b12

kuelekea goli la upande wa brazil
Posted by djfatty at 3:55 AM 0 comments
Tuesday, June 8, 2010
MSHINDI WA S&S APATIKANA NA WAWALI KUJULIKANA MIEZI MIWILI IJAYO

meck 4 real amshindi wa reord desl ns S&S record
Posted by djfatty at 5:37 AM 0 comments
PRODUCER HERMY B AMELAZWA TMJ HOSPITAL

Producer kutoka B hits Harmy B leo hii amelazwa hospitali ya TMJ kwa ajili ya matibabu. chanzo changu kinasema hermy b inasezekana ikawa ni madonda ya tumbo ama kuna kitu kingine kinamsumbua maana anatapika na kuharisha damu kitu kinachoonyesha ndamu navoja kwa ndani.KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUTEMBELEA HAPA
Posted by djfatty at 4:02 AM 1 comments
Monday, June 7, 2010
MICHAEL ROSE APIGA COLLABE NA WATOTO WA MANZESE

crew nzima ya tiptop na michael ross
michael ross amefanya collable na tiptop connection ndani ya studio za B HITS pina linaitwa NITAKUOA

michael ross

michael ross akishow love na first lady wa tiptop connection mwanadafada keisher

president wa manzese na

kasim mganga

crew mzima ya tiptop na michael rose
Posted by djfatty at 5:55 AM 0 comments
PRODUCER BANO MIKONONI MWA MANEKE

Producer Bano, mnamkumbuka? Yule jamaa Aliyetengeneza wimbo wa am a gud Boy track ya kwake Nicky wa Pili,
Jamaa amerudi bongo kutoka masomoni nchini India na inavyosemekana baada ya wamiliki wa studio kibao hapa bongo kumgombea kama mpira wa kona, Hatimaye Bano ameangukia kwa AM records kwa Maneke.
Bano alikua akisomea Degree ya Biashara na kwa wakati huu yupo nchini kwa likizo.
bada ya kuongea nae Bano alisema kuhusu nani ataanza kufanya nae kazi bano akasema
mizuka ya kwanza kwanza itamuangukia Chiddy Benz
Posted by djfatty at 4:49 AM 0 comments
Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)
idadi ya watemb

No comments:

Post a Comment