mtangazaji wa HITS fm kupitia kipindi cha AMKA AFRIKA na msisimko wa pwani, RABIYAH NASSOR amefiwa na MAMA yake mzazi JANA TAREHE 18 mwezi wa SITA na msiba upo kwao sinza na mazishi yatafanyika mkoa wa tabora NZEGA.kesho saa .... za jioni .MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU. AMEEN
pole sana dear sisy may mummy's soul rest in peace we love her but ALLAH loved her the most
ReplyDeleteALLAH Ametoa sasa ametwaa ni sfari ya kila mtu lakini kwa mama ni msiba wetu sote hakuna ambae hajaumiaki ukweli tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu pole sana ndugu yetu ni mitihani ya mungu Inshaallah utafaulu
ReplyDelete