Wednesday, June 30, 2010

PINDI LA UKWELI NDANI YA M-NET CHANNEL..Litaitwa STUDIO 53-EXTRA

SASA ni wakati wa ma celeb mbali mbali kutoka bara la afrika kuweza kuonekana kupitia channel ya M-net ambao wana kuleteeni kipindi kipya (Studio 53 Extra!)ambacho kitakuwa kina onyesha ma celeb mbali mbali toka barani afrika kwenye red carpet events..hio ni kuazia tarehe mos mwezi wa saba mwaka elf mbili na kumi..pindi lina ongozwa na wana dada wawili toka kati ka vyuo mbali mbali nchini Marekani na Uingereza..


June 30, 2010 – Studio 53 Extra! Just when you think M-Net has relaxed they slap you with something else.

Studio 53 extra is the new kid on the block at M-net and debuts tomorrow.

Its inception comes just days after the original six-year-old Studio 53 took a bow.

“This show is trendy, revamped and a lot more involving,” says Stella Ondimu, PR Officer at M-net in Kenya.

“We are still targeting the same audience (as Studio 53), but the show has energy, its refreshed and fast paced,” she says.

Whereas the previous show focussed more on lifestyle, Studio 53 Extra will be bringing you the Red Carpet and have undue focus on the entertainment scene in all 53 African countries that are part of the African Union.

“Premiering on Thursday July 1, the spin-off show will… focus on the entertainment industry on the African continent… It will cover the hottest entertainment stories, trends and celebrity interviews from all over Africa,” read a statement.

The show will be hosted by two fresh female presenters: Eku Edewor, a graduate from the New York Film Academy, and Dolapo Oni who trained at the Academy of Live and Recorded Arts in the UK.

Said Dolapo; “It's been extremely exciting and I am having such a great time working with my co-host. I’m delighted to join the M-Net family and am looking forward to working on the show.”

This show focus this week is the 2010 BET Award winners, a behind the scenes at VIP party at Johannesburg’s Moloko Night Club after the Nigeria vs Argentina World Cup match, plus the best looking football stars on the African continent and much more.

So check it out tomorrow evening and let us know what you think.

WORLD CUP YASABABISHA KIFO CHA MTOTO WA UMRI MIAKA MIWILI

Hector Castro mwenye umri wa miaka 28 alimpiga sana na kisha kumuua kwa kumziba pumzi mtoto wake wa kambo wa kike mwenye umri wa miaka miwili.

Baada ya kumuua mtoto huyo ili kuficha ukweli, Castro aliididimiza bisibisi kwenye shingo ya mtoto huyo ili kufanya kifo cha mtoto huyo kionekane kuwa ni cha ajali.

Castro aliita ambulansi akidai mtoto wake amepata ajali wakati akicheza na bisibisi imezama kwenye shingo yake.

Hata hivyo mchezo wake uligundulika muda mfupi baada ya madaktari waliokuja na ambulansi kugundua kuwa mtoto huyo alifariki kutokana kupigwa na kuvunjwa mbavu kadhaa na wala si bisibisi.

Castro alitiwa mbaroni kwa tukio hilo lililotokea jumamosi wakati wa mechi ya kuwania kuingia robo fainali kati ya Marekani na Ghana.

Castro alijitetea kuwa alishikwa na hasira kutokana na mtoto huyo kulia sana bila kunyamaza wakati yeye akiangalia mechi hiyo ya Marekani na Ghana ambayo iliisha kwa Marekani kufungwa mabao 2-1.

Kutokana na umri mdogo wa mtoto aliyeuliwa, Castro huenda akahukumiwa adhabu ya kifo iwapo atapatikana na hatia.

Tuesday, June 29, 2010

NDEGE YA JWTZ IMEANGUKA NA RUBAN KUFARIKI HAPO HAPO


Ndege hiyo ilikuwa ikitokea mkoani Tanga na inadaiwa kuwa ilibeba watu 5,Rubani ndiye alipoteza uhai,kwa mujibu wa shuhuda mwingine aliyepo eneo la tukio anasema kwa hali ya ndege ilivyo hakuna mtu aliyepona,na kwamba ndege hiyo ni ya JWTZ kituo cha Ngerengere mkoani Morogoro,mpaka sasa hali ni tete eneo la la tukio kwani hakuna gari linalokwenda wala kurudi kutokana ndege hiyo kuziba barabara.


============
Habari zilizoifikia Blog yako ya HITS FM RADIO hivi punde imehabarishwa kuwa Ndege ndogo ambayo idadi ya watu waliokuwemo bado haijajulikana, imepata ajali kwa kugongana na basi iliokuwa imebeba abiria (watalii) ambao nao idadi yao haijajulikana kwa haraharaka,maeneo ya Kabuku Mkoani Tanga.
Aidha chanzo chetu cha habari ambacho kipo kwenye eneo la tukio kimeeleza kuwa ndege hiyo iko nyang'anyang'a na haitamaniki tena, imeziba barabara na kwamba mpaka sasa ni mtu mmoja aliyebainika kupoteza maisha,aidha wananchi walioko sehemu ya tukio wanaaendelea na juhudi za kuwaokoa majeruhi ndani ya ndege hiyo halikadhalika na kwenye basi pia.


Chanzo cha habari kinazidi kusema kuwa mpaka ajali hiyo inatokea , wananchi wanajitokeza kuwasaidia majeruhi hakuna chombo chochote cha usalama kilichkuwa kimekwisha fika eneo la tukio."kwa sasa kuna msongamano mkubwa wa watu na mabasi mengi yamekwama hapa kwa saababu ndege imeziba barabara na magari hayawezi kupita"kimesema chanzo chetu cha habari.



Wanajamvini habari ndiyo hiyo lakini tutazidi kuhabarishana zaidi kadiri ya habari zitakavyokuwa zinapatikana.


Saturday, June 26, 2010

WASANII KUTOKA TaSUBa KUKISANUA NORWAY..

wasanii hao ambao wanachaguliwa kila mwaka kwa ajili ya kwende kufundisha utamaduni wa mtanzania nchini humo (Norway..) majina ya watanzania hao waliopo huko ni SHABANI JABILI MBATTA,CONSOLATA KANGONGA NA HEMEDI MAEDA..na kwa upande wa Norway ata kwepo  INGRID KROG REMMEN NA IDA Cathrin Utvik
..wanatumia sanaa ya ngoma na vitu mbali mbali ndani ya utamaduni wa mtanzania kuweza kuwafundisha rafiki zao wa  Norway kwa kupitia muungano NO-TA..(NORWAY AND TANZANIA) .Sasa kabla hawajamalizia mda wao wa kuka nchini humo wame anda bonge la Tamasha ambao watalitupi jijini STARVANGER  kuanzia tarehe 22-27 mwezi wa nane ...

concert hili lita usisha wasani toka pande zote mbili kwa maana Tanzania na Norway..kuna waalimu Toka nchini Norway ambao pia wamekaa Tanzania kwa mda wa mwaka mmoja kwa ajili ya kufundisha sanaa mbali mbali toka nchini Norway..na wao watarudi nchini kwao kwa kuweza kuungana na wenzao toka Tanzania ili wasababishe hilo Tamasha kubwa...

ENGLISH VERSION OF THE STORY...

Students/artists who completed their studies at the institute of arts Bagamoyo (TaSUBa) who have been on a cultural exchange for a period of almost a year in stavanger since the summer of 2009 in (Norway) .will be holding a massive festival  in Stavanger along with their friends from Norway that have been teaching different choreography skills to the students in TaSUBa.. from the the 22-27 august as they prepare to leave the country and head back home...on line up from Tanzania i,Shabban Jabili Mbatta,Hemedi Maeda and the only girl is Consolata Kangonga. then the other side of the Norwegians will be Ida Cathrin Utvik and Ingrid Krog Remmen....

JUPITER RECORDS WAMESHINDA BIG TIME

Studio ya jupiter records wamefanya vizuri kati ka zanzibar music awards mwaka huu 2010 ..naona kama ilikuwa blessing kubwa kwao...msanii wao DIDA ameshinda tunzo ya msanii chipkizi ,na vile vile Rico single kashinda tunzo na ngoma yake kali na Baby jay..then producer wa DIDA ,Aronem nae kashinda tunzo za prodyuza bora wa mwaka 2010 kisiwani hapa.wengine walio shinda ni mwana dada DORIKA kama msani bora wa kike ndani ya mziki wa kizazi kipya.na wengine wengi...so basically...kama masindano yote yanavyokuwa always kuna, winners and loosers..so thats wasup..

kitu kiigine ambacho nimeona ni kwamba trophy imebadilishwa...which was good..but..!!.. it looked like plastic..i was watching kwenye television so im not so sure but it looked like plastic..hope nilona vibaya ...so anyway hongereni ..loosers work hard next time

Thursday, June 24, 2010

STUNT YA KUUZA ALBUM

Ebana mimi nina swali ...wasani siku hizi hii stunt ya ohh..ela itaenda kwa watoto yatima, Watu wanao ishi na virusi vya ukimwi na halkadharika....hivi kuna mtu yeyote ambae amefuatilia swala hili na akaona kweli hio hela wanaipata watu hao kweli...??..Au kamekuwa ka mpango ka kudanganya watu wanunue album yako then pheeeeeeeeew..!!!!!!. mabovu yote mdomoni..

OK chali NEY WA MITEGO (ITAFAAMIKA)huyu jama ngoma yake hio hapo  imefanya fresh sana mwaka jana...lakini kwenye outtro yake kulikuwa na utata baada kuwa ,kuna ujumbe ambao inasemekana ali take shots kwa wakongwe wa game la bongo fleva..lakini tukiachana na huko mchiz naye katupia album yake mpya siku ya jana na amekiri kuwa mauzo yote yanenda kwa watotto yatima. ni kweli au ni publicity stunt..hapo sijuhi ..tukae tusubiri vilio au furaha toka kwa watoto hawo..

UMRI UNA KWENDA MBIO MAZEE

Mwanzoni wana muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania chegge na TMK FAMILY walivyo imba ngoma UMRI UNA KWENDA, mie sikudhania kama kweli una kwenda kivile...lakini kati ka pekuwa pekuwa zangu,kuna kitu kiingine ambao nimeweza kugundua..licha umri kwenda ..watu vile vile wanaweza wakafanana kutokana na umri mkubwa..au kwa lugha ya kisasa (kwenda age)..

Kuna mmama muigizaji filamu mkongwe nchini Nigeria anaitwa PATIENCE OZOKWOR.atakuwa anafahamika kwa kumuona kama jina lake ulikuwa haujuhi au kufahamu.kwa muonekano wake wa sasa,yeye na mwana muziki toka BROOKLYN nchini marekani mwadada au anaelekea kuwa mmama..malikia wa muziki wa RNB enzi hizo..MARY JANE BLIGE.wanafanana ile mbaya kutokana na kauli ya wana muziki toka TMK kuwa UMRI UNA KWENDA..kama mapacha vile dah ! kwanza check hiyo picha then utoe wazo lako.


ENGLISH VERSION OF THE STORY ............

AGE PUSHES NIGERIAN MOVIE STAR TO LOOK LIKE AMERICAN RNB STAR MARY JANE BLIGE.....
when ages strikes hard. it creates people from different back grounds to look alike...recently when i was going through stuff on the internet (number one global connection) i found out that musician MARY JANE BLIGE has gotten old and in so doing she has come in resemblance with nigerian movie star PATIENCE OZOKWOR. you can hardly differenciate them if they were at an occassion togather.they just looks like twin sisters or some...

Wednesday, June 23, 2010

KIDATO KIMOKO KARUDI NA VITU VYA PUNCH


Mie najiuliza kwa nini wasani wana kimbilia..nchini jirani kama kenya ,sauz,musumbiji kwenda kufanya kazi zao za kimziki wakati si wenyewe bongo kuna production houses za ukweli...msanii J1 alikaa kimya kidogo,lakini nimepata taarifa kumbe hakwepo nchini. jama alie shine sana na record yake ya kidato kimoja karudi nchini baada  kwenda Nai-robbery  kutengeneza ujio mpya..anadai kuwa mawe yapo tayari na tusubirie tuu kombe la dunia liishe then atugawie uonjo kutoka huko NAI..
kwa mdomo wake anasema..

"Nimerudi na nimejipanga vya kutosha na sio muda mrefu nitaanza ngoma nyingi tu nimezifanyia Kenya na nimerudi kivingine kabisa kwani hii albam yangu itakuwa imeshiba na hili zoezi la kuachia ngoma litakuwa mara tu baada ya kombe la dunia kuisha”
Katika mpango mzima wa kujipanga mtu mzima JI aliamua kujikita nchini Kenya kwa ajili ya kuwa karibu na wasanii kutoka nchini humo ambao alikuwa na mpango wa kufanya nao kolabo. “unajua ukitaka ukaribu na msanii inabidi umfute aliko ili kuepusha usumbufu wa hapa na pale”

JI aliendelea kwa kusema…… “sasa hivi nakuja na albamu yangu ambayo ina jumla ya nyimbo kumi na nimebakiza kama nyimbo ne tu imalizike”
Akiongelea albamu yake ya kwanza ya kidato kimoja ambayo ameiingiza sokni hivi karibuni JI alisema “kidato kimoja ndio album yangu ya kwanza kiingiza sokoni kwa hiyo siju soko linaendaje na ukizingatia ndio kwanza ina miezi mine tu tangu niingize sokoni”

BIG BROTHER SEASON 5 KUANZA tarehe 15 JULY 2010..

season five ya big brother nchini south africa itaanza hivi karibuni mara baada ya kombala dunia kumalizika..dau bado litabaki pale pale kwa kiasi cha dola za kimarekani laki mbili ($ 200,000)..
lakini game litakuwa gumu kidogo coz kuna vikwazo vingine vipya kati ka jumba hilo la big brother.
hayo amesema managing director wa Mnet Africa..Bi.Biola Alabi..ambaye kwa fraha ameweka wazi kuwa watu wajandae kwa season five ya mwaka huu....JUMBA LITA ONYESHA MASAA 24 ...(24/7)...kuanzia tarehe hizo hapo juu...15th july 2010..



STORY KWA KIZUNGU
With soccer fever sweeping the continent, DStv has scored its own blockbuster goal…revealing that M-Net will kick-off a sensational new season of Africa’s biggest reality show in just under a month.

The 5th edition of M-Net’s Big Brother Africa will launch just days after the newest World Cup Champions are crowned, and with the golden prize of USD 200 000 once again up for grabs, a breathtaking new game will be well and truly on!

And this time, Big Brother fans in over 40 countries across the continent are going to get a show that’s more edgy, more tactically challenging and more intensely strategic than ever before.

So says M-Net Africa Managing Director Biola Alabi who was delighted to make the news official.

“What a great moment this is – to bring back a show that our audience loves for an incredible 5th time. We wanted season 4 (Big Brother Revolution) to be special but it exceeded our hopes. With the volume of interaction the show received from fans, it was clear that season 5 was definitely on the cards.

So we’ve been developing what we believe will be thrilling new format changes.”

Now, with the news out in the open, M-Net has confirmed that the latest Big Brother Africa will begin on July 18, and will be screened live 24/7 for 91 days on DStv Channel 198 for DStv Premium and Compact subscribers.

And breaking with tradition, M-Net has announced it won’t be calling for entries for the new show.

The company has revealed that having run the series four times previously, they’re now head-hunting contestants from a database of previous entries submitted for the show.

“We want to invest more broadly in season 5 and having already been introduced to a world of interesting characters from previous searches, there’s limited value in spending extensively in another search for contestants,” says Alabi.

CONCERT LA NGUVU KWA HISTORIA YA HIP HOP .

Concert la nguvu  kwa historia ya hip hop litafanyika hivi karibuni kati ka majimbo mawilli nchini marekani...mkongwe na mfalme wa hip hop toka pande za BROOKLYN -Newyork city ..SHAWN CARTER "JAYZ" HOV, ROC ana majina kibao ataungana na mfalme kati ka anga za hip hop tokea jimbo la DETROIT..MARSHALL"EMINEM" MATHERS...Kwa kuweza kufanikisha jambo la kutupia show mbili za nguvu kati ka majimbo yote DETROIT na NEWYORK. kwa wadau wa hip hop ambao nime bahatika kuchonga nao wanasema ,hizi show mbili ndani ya DETROIT na NEW YORK CITY zitacha historia kwa upande wa hip hop..kwa habari nilizo zipata ni kwamba concert la NYC..litakuwa kwenye uwanja wa mpiira wa baseball uitwao YANKEES STADIUM..tarehe za concert hilo ndani ya yankees stadiumni hizi hapa

Mon 13 September 2010...New Yankee Stadium
ENGLISH VERSION OF THE STORY...

two hip hop legends SHAWN"JAYZ"CARTER and MARSHALL "EMINEM"MATHERS teamed up a couple of months ago and decided to throw 2 massive  concerts to hip hop fans of DETROIT and  NEW YORK CITY...the preparations are finally done and the concerts are on in the next couple of weeks ...at the yankees stadium it goes down

Mon 13 SepNew Yankee Stadium...

MIAKA 14 JELA KWA MAISHA YA MTU KWELI NI SAWA....?????

Kijana wa Kiingereza ambaye alimuua kijana wa Kitanzania aliyekuwa akiishi nchini Uingereza baada ya kukasirishwa na maoni yake mabaya kwenye Facebook, amehukumiwa kwenda jela miaka 14.

Kijana huyo wa Kiingereza ambaye wakati wa tukio mwezi disemba mwaka jana alikuwa na umri wa miaka 15, alimuua kwa kumchoma na kisu kifuani kijana wa Kitanzania Salum Kombo aliyekuwa na umri wa miaka 18 ambaye alikuwa akiishi na kusoma nchini Uingereza.

Kijana huyo wa Kiingereza ambaye jina lake halikutajwa kutokana na umri wake mdogo amehukumiwa jana jijini London kutumikia kifungo jela zaidi ya miaka 14.

Kijana huyo alikuwa ni rafiki wa karibu wa Salum na chanzo cha mauaji hayo ni maoni mabaya aliyoandika Salum kwenye Facebook kuhusiana na rafiki yake huyo.

Inasemekana kwamba rafiki huyo wa Salum aliandika maoni kwenye ukurasa wake wa Facebook akionyesha hasira zake kwa kutoalikwa katika party iliyoandaliwa na rafiki zake.

Salum alijibu maoni hayo kwa kuandika maoni ya kumkashifu rafiki yake huyo ambaye kutokana na kukasirishwa kwake alitishia kumuua lakini hakuna mtu aliyetilia maanani vitisho hivyo.

Salum aliuliwa kwenye uwanja wa mpira wa kikapu karibu na nyumbani kwao. Alijaribu kujikongoja kuelekea kwao huku damu kibao zikimtiririka lakini hakufika mbali na alifariki dakika chache baadae wakati akipewa huduma ya kwanza kwenye eneo la tukio hilo.

Akijitetea mahakamani kijana huyo alisema kuwa alimshambulia Salum katika kujilinda asidhuriwe na Salum lakini hakimu aliutupilia mbali utetezi wake.

Akitoa hukumu jaji Nicholas Loraine-Smith aliamuru kijana huyo atumikie miaka 14 jela kabla ya kufikiriwa kupewa msamaha au kutolewa jela.

Salum alikuwa akisomea Sanaa kwenye chuo cha Tower Hamlets College jijini London na aliwasili Uingereza miaka saba iliyopita na alikuwa akiishi na shangazi yake jijini London.

RIHANNA AMERUDI NYUMBANI KWAKE JIJINI LOS ANGELES

Mwana muziki RIRI week iliyo pita ,alipata mda wa kupumzika kidogo kutoka kwenye makazi yake ya ku promote album yake RATED R..mda wa kupumzika aliutumia kwenda kumcheck maza yake na wadogo zake kule Barbados...alikaa mda wa siku kama tatu .na kwa sasa amesha rudi nyumbani kwake jijini los angeles.siku ya jana alionekana na boyfriend wake matt kemp mcheza base ball nchini humo wakipata dinner eneo liitwalo Phillipe Chow's .
RIRI atamalizia tour yake nchini marekani mara baada kuzunguka sana nje ya marekani...

Tuesday, June 22, 2010

VOCHA ZINA NUNULIWA KWA WINGI NDANI YA KISIWA CHA ZANZIBAR NA WASANI WANAO WANIYA TUNZO ZA ZANZIBAR MUSIC AWARDS ...SIKU YA IJUUMA..

Ebana nime bahatika kutembelea maduka yanayo uza vocha kisiwani hapa,na nikambiwa na wenye maduka kuwa uuzaji wa vocha uko juu saana siku mbili hizi na ni wasani ambao wana zinunua so hatujuhi zinapelekwa wapi..nilivyo ambiwa hivyo , nikakumbuka kuwa tuna siku mbili tuu..! tuweze kupata radha ya zanzibar music awards kwa mara nyingine tena ndani ya kisiwa chettu kizuri...niwatakie tu kila la kheri wote ambao mna gombea tunzo hizo...

kwa kukumbusha pia mfanya kazi mwenzettu hapa Hits fm radio AYOUB BEBEE..yupo kati ka category ya PRODUCER BORA wa mwaka so support yenu pia mhimu kwake..

JCB APOROMOSHA MZIGO MPYA ...BUKU 10 TU..!..SUPPORT BASI..KWA MWANA ...


Msanii wa hip hop hapa bongo,akitokea mjini Arusha akijulikana kwa jina halisi la Jacob Makalla a.k.a JCB, hivi karibuni amekwisha ikamilisha albamu yake ijulkanayo kwa jina la Nakala za Makala yenye jumla ya nyimbo 16.

akizungumza leo mchana ndani ya kipindi cha XXL .amesema kuwa albamu hiyo iko tayari na imekwishaingia sokoni jana kwa ajili ya mauzo.

JCB amezitaja baadhi ya nyimbo zilizomo kwenye albamu hiyo kuwa ni Movement of silence,Kijiti,Kijenge ya juu,Usinitafute,Prison break,Ninapo,arusha na nyinginezo,anasema na kuongeza kuwa albamu hiyo imerekodiwa ndani ya studio za Watengwa chini ya prodyuza David Bakari a.k.a Daz.

JCB amebainisha kuwa albamu hiyo iliyojaa kila aina ya maudhui inauzwa 10,000.

JAMANI THE SWAGGA CONTINUES..A GAY COUPLE IN OUR COUNTRY TANZANIA ENJOY A MOMENTO....!!!

Hapa nilichokakwelimara baada kuktana na kitendo hiki..mie nilikua nafikiria kuwa hizi stunt zipo mbele, kumbe na kwetu Tanzania zimesha tua..dah !!!! ..hii ni noma nini maoni yako juu ya hili stunt...ni resh tuu..! watu waendelea ku stunt namna hii...au la..!! 

ENGLISH VERSION OF THE STORY

The gay community world wide should be happy ..after there madness is trying to grow roots in our beloved  Tanzania...here is a couple who happen to be enjoying a moment of happiness togather..what do you think of this kinda life stepping into the east africa...!!!..should they carry on with there deeds or ...!!!!..where do you think its taking us...Having in mind that it aint our culture..

RAIS WA JAMHUURI YA MUUNGANO WA TANZANIA..JK AJA NA SWAGGA MPYA KWA UCHAGUZI 2010..

RAIS Jakaya Kikwete jana alianza rasmi mbio za kutetea nafasi yake ya urais huku akiboresha kaulimbiu yake ambayo sasa inakuwa Ari Zaidi, Nguvu Zaidi na Kasi Zaidi tofauti na mwaka 2005 ambapo aliongozwa na kaulimbiu ya Kasi Mpya, Nguvu Mpya na Ari Mpya.

Akihutubia mamia ya wakazi wa mji wa Dodoma muda mfupi baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya CCM kugombea urais, Rais Kikwete alisema 

KUNA HABARI ZILIZO VUMA SIKU YA JUZI KUWA RAPPER GAME KAFARIKI..SIO KWELI WALA NINI..NI UZUSHI TUU!!!!!


MWANA MUZIKI HUYO  KUTOKA CAMPTON ,JIMBO LA  LOS ANGELES CALIFONIA NCHINI MAREKANI AMESEMA KUWA ,"HAKUNA UKWELI WOWOTE JUU YA KIFO CHAKE YUPO HI NA MAMBO YOTE NI POA". .HAYA YOTE GAME AMEYASEMA KUPITIA ACCOUNT YAKE YA MTANDAO WA TWITTER ..NA KAONGEZEA VILE VILE KWA KUSEMA KWAMBA YEYOTE YULE AMBAYE KAANZA KUSAMBAZA SWAGGA HIZO ZA KUSEMA KUWA YEYE KAFARIKI ATAKUWA  ANA MPANGO WAKE ...
ENGLISH VERSION OF THE STORY....................
The Game is denying reports that he was killed sunday  night in a Los Angeles shooting.
News broke late Sunday that the rapper was murdered at the Beverly Hills Center but details remained skimp on a possible motive.
Game apparently caught wind of the rumor and took to his Twitter page to clear the air.
Speaking on the false claims he tweeted to his nearly 180,000 followers,

Lil Wayne's Daughter Banned From Visiting Him At Rikers Island


Siku mbilli mara baada ya ma baba ulimwenguni kusherekea siku yao..kuna mbaba mmoja ambae haja fanyikiwa kwa upande wake .baba huyo sio mwengine ila mwana muziki toka nchini marekani lil wayne..mama wa mtoto wake wa kwanza 
bi.Antonia “Toya” Carter, amezuia mwanae ambae ni REGGINAE CARTER kwenda kumtembelea baba yake katika siku ya akina baba duniani kule gerezani alipo fungwa kwa takribani meizi minane..

ENGLISH VERSION OF THE STORY...
One day after after millions of men celebrated Father's Day, one dad in particular was not allowed to see their oldest child.
Antonia “Toya” Carter is confirming reports that she did not let her 12-year-old daughter visit her father Lil Wayne at Rikers Island prison and in fact, doesn't allow her to visit him at all.
Reginae Carter is the oldest of Lil Wayne's four children by four different women and according to her mother Toya, she will never visit the New York prison where her father is incarcerated.
Speaking in an interview with 

Monday, June 21, 2010

KUPITIA UMARUFU WAKE CHALI ALMASI AMETINGA DODOMA BUNGENI

Katika hali isiyo ya kawaida leo katika matangazo madogo madoga kutoka kwa spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaninia Mh. Samweli Sita akitangaza wageni waliotembelea Bungeni hapo leo mjini dodoma ambapo Diamond alipata kutangazwa kama mmoja kti ya wageni waliofika bungeni hapo na kufagiliwa sana na spika huku akiambiwa asimame kwa muda mrefu.

Diamond ambae ni msanii wa bongo flava (muzi [ … ]

POLITICIANS ARE GRABBING THERE FORMS FOR PRESIDENCY LEO HAPA ZNZ

Jumla wa wagombea sita akiwemo Makamu wa Rais, Dk Ali Mohammed Shein wanatarajiwa kuchukua fomu za kuwania urais wa Zanzibar keshokutwa kupitisha Chama Cha Mapinduzi (CCM).Kwa mujibu wa taarifa ya Idara ya Uenezi na Itikadi ya CCM Zanzibar iliyosambazwa kwa vyombo vya habari mjini hapa imesema kwamba wagombea hao watachukuwa fomu keshokutwa katika nyakati tofauti.

Ratiba inaonyesha kwamba Dk She [ … ]

LAURYN HILL KARUDI TENA

Mwana dada huyo ambaye alika mda mrefu kweli bila kusababisha ..this time around ametokea na ka lipua show la maana liitwalo..Harmony Music Festival..show lilikuwa California eneo la SANTA rOSA..kaimba ngoma moja iliyo shine sana miaka ya tisini..READY OR NOT..kwa nilivyo mcheck..umri umekwenda kidogo..na mapigo yake sasa ni ya kimazazaidi...lakini swali ni kwamba kwalove alio ipata huko califonia, ataweeza kuandaa mzigo mpya wa mwaka huu au mwakaani..? 


STORY KWA ENGLISH....



Ex- Fugee and sorely missed emcee Lauryn Hill decided to surprise fans with a concert at the 2010 Harmony Music Festival in Santa Rosa, Califormia.
The femcee performed some of her classic tracks including her breakout hit with The Fugees, “Ready or Not.”
In her second performance of 2010, Ms. Hill is still showing fans why we fell in love with her in the first place, now if we could get her to come out with a new album.

RIP: Former NBA Star Manute Bol Dies

MCHEZA kikapu miaka ya nyuma kwenye ligi kuu ya nchini marekani NBA..Manute Boi toka nchini sudan amefariki dunia.kumbuka kwamba ali set rekodi ya kuwa mchezaji mwenye urefu zaidi ya wote ambao wamesha wahi kucheza ndani ya NBA.mungu ailaze mahala pema peponi. ameen.

English version of the story..!!!!!!!!!....

Manute Bol -- best known for being one of the tallest players to ever play in the NBA -- died today, according to various reports.

Bol was hospitalized in Virgina back in May after suffering acute kidney failure.

Bol played in the NBA from 1985-1994 and was one of the best shot blockers in the league. Bol was extremely involved in charities in his native Sudan -- donating an estimated $3.5 million aid Sudanese refugees.

He was 47.

Saturday, June 19, 2010

GOMA JIPYA ..KUTOKA KWA BEENIE MAN NA CHAMELEONE LIPO TAYARI

BONGELA DUDE TOKA KWA WAKALI WAWILLI  TOKA BARANI AFRIKA WENYE MIONDOKO YA DANCEHALL LIPO TAYARI NA JOSE CHAMELEONE BAADA KUWA AMELIBANIA KWA MDA ..HATIMAE KALIACHIA..

LICHECK KUPITIA LINK HII HAPA

rapidshare.com

ZIFF YAONGEZA AWARD KWA WATANZANIA




Zanzibar International Film Festival (ZIFF) katika kuhakikisha inawapa nafasi watanzania ya filamu nchini imeamua kuongeza changamoto zaidi, kama awali ZIFF ilipoamua kufanya Swahili Day kwaajili ya kuonyesha filamu za kitanzania tu na sasa imeamua kuongeza changamoto nyingine.

Siku ya Swahili Day itakua ni tarehe 17 Julai, 2010 ambayo pia ni siku ya kutoa tuzo za ZIFF. "Tumeamua kuongeza kitu katika siku hii ili kuweza kuwazuta zaidi watengeneza filamu wa kitanzania, ili wajue jukwaa hili ni lao na pia ZIFF inawajali sana"- Daniel Nyalusi, Meneja wa Tamasha.

ZIFF itatoa tuzo kwa Filamu Bora ya kitanzania na pia Tuzo ya muigizaji bora (Best Tanzania Feature Film and Best Tanzanian Actor/Actress), hii ni katika kuleta changamoto mpya kwa kiwanda cha filamu Tanzania.

Tutatoa ratiba ya filamu zitakazo oneshwa siku hiyo na pia zitaingia moja kwa moja katika kinyang'anyiro cha tuzo hizo. Mpaka sasa filamu zitakazo kuwemo ni Huba, Nani, Usaliti na Happy Caples, Pay Back, Black Sunday, Babra na zingine nyingi ambazo zitagombea tuzo hizo. Filamu hizi ni zile ambazo zimeingia katika kundi la filamu za kitanzania.

Kuna filamu zingine za kitanzania ambazo zimeingia katika kundi la filamu zate katika tuzo za ujumla kwasababu ni fupi ama zimefanywa na watanzania kwa kushirikiana na watu wa nje ndio maana haziwezi kuingia katika kundi hili kama vile Twiga Stars, Ndoto ya Zanzibar, Nipe Jibu, Marafiki, Wanawake 8, Mwamba Ngoma, Stowaways, Tuna Haki na filamu amabyo nimeongoza mimi lakini nimefanya na watu wa Denmark inaitwa Home To Mother.

Tukumbuke Tamasha la Nchi za Jahazi
linaanza tarehe 10 Julai na kuisha 18 Julai, 2010

BABY IN LIFE BRINGS RESPONSIBILITY..HOORAY NAZIZI..

Mtoto Akipatikana uwa majukumu kuongezeka kwa kasi . ndio kitu ambacho tume kiona lakini kwa mwana dADA HUYU ANasema kuwa yeye itakuwa tofauti coz ataendelea kutupa ngoma kama kawa..lakini vile vile anasema ita take time kidogo kuzoea mazingira ya kuwa mama. Nazizi toka nchini Kenya anaye unda kundi la Necessary Noise na Wyre,Pamoja na lile la East Africa Bashment Crew ...... amejifungua hivi karibuni baada ya kuolewa kwa siri kwa zaidi ya miaka 2 sasa huku siri hiyo ya kuolewa kwake ilikua inajulikana kwa watu wake wa karibu wa familia tu...!

HONGERA DADA..

POLE SANA MWANA DADA MWENZETU HAPA HITS FM RADIO

mtangazaji wa HITS fm kupitia kipindi cha AMKA AFRIKA na msisimko wa pwani, RABIYAH NASSOR amefiwa na MAMA yake mzazi JANA TAREHE 18 mwezi wa SITA na msiba upo kwao sinza na mazishi yatafanyika mkoa wa tabora NZEGA.kesho saa .... za jioni .MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU. AMEEN

Friday, June 18, 2010

KIM KARDASIAN NA JUSTIN BIEBER PWANI....


Alie kuwa mke wa mcheza mpiira(american football) nchini marekani na mwana mitindo..Kim kardashian. juzi kati, kamua kula good time na dogo anaye kimbiza ilimwengu kwa sasa .bwana mdogo toka nchini canada Justin Bieber ndio kala shavu la kutoka naye mwana mitindo huyo kwenda kula good time pwani moja huko nchini marekani..lakini Kim jamani..!!! haka ka jama mbona bado kadogo sana....na kuogelea huko ..si balaa!!!!!!

Thursday, June 17, 2010

HAPA MWANA ANAONEKANA KAMA SWAGGA ZILIKUWA OFF


Fareed kubanda ,na mwenzaka Belle 9..baada kufanya kazi nzito ya kujitolea..kushare na watoto hapa inaonekana kama washkaji walichoka sana na wanataka tu kutimua..lakini ndio kwanza mwanzo wa ma speech kibao...

KUTOKA KIUMBE VIDEOS...KWENYE SET YA Wyfil Dav akimshirikisha RAY.c


jama anashoot video ya kama laki saba laki nane na mkononi ana chombo cha takribani millioni kama 5..hivi lakini kwanza cheki ni kitu gani anaweka mfkoni kwa faster...dah..! hii balaa..

More Black Men Mag Scans Of Nicki Minaj+Naturi Naughton's New "H8AZ" Vid


mwana dada nicki minaj mashavu yana endelea kumdondokea...licha beef iliopo sasa baina yakena rapper mkongwe wa kike..lil kim.atakuwa kwenye cover ya gazette la blackmen .hii..ni picha yake ambao nimeidakamda si mrefu



Looks like Nicki Minaj may be doing a double cover for the upcoming issue of Black Men's magazine. This other cover picleaked earlier this week. Now, here's another shot released.

INAONEKANA WATU WANATAKA KUNIONA MIE NA ZE BOSS WA MIAMI RICK TUKIFANYA KAZI YA BALA


mwana muziki ne-yo na boss wa miami rick watapiga kazi pamoja hivi karibuni..wawilli hawa wote wapo kwenye lable moja ambayo ni DEF JAM LAKINI ross anasimamiwa kazi zake na mtu mzima SEAN "COMBS "DIDDY

When you think about Rick Ross, what more can I say? He's a boss. Working with him, he's a gentleman's gentleman if you know what that means. He's definitely the kind of cat that when you think about, there's a kind of elegance about him, there's a class with this dude.
Click here to find out more!

Rick Ross is the kind of dude that you'll see on a yacht somewhere and it'll make total perfect sense but then again, at the same time, he's the kind of dude that you'll see on the block too and it'll make total perfect sense. Not a lot of people know how to toe the line and Rick Ross is one of those kinds of dudes. And it's been an honor and pleasure to work with him on "Super High" and all the other times.

We both came to Def Jam around the same time. Growth is really the name of the game. That's what it's about, expanding the brand and for me, it's always been about quality music. And with me producing quality music on a regular basis is gonna make my star that much bigger, then that's what's supposed to happen. That's the only thing I'm here for, I'm not here for the stardom, I'm here for the music. But if the stardom comes with the music, so be it.

Our record is definitely doing what it's supposed to do. I'm happy for that, so shout-out to all the radio and deejays that are running the record. I appreciate the love and shout-out to the people requesting the record on the radio and all of that. I feel like it gives me hope for music again. It's a quality joint, it's a quality record. Like I said, it gives me hope that all the garbage you hear on the radio hasn't dulled everybody's senses. So I'm happy about that.

I have to also give credit to our Def Jam team, they've always taken care of me and have been behind me 100 percent. Ross is my dude. I definitely dig Ross and everything we've done, we're also planning on doing some stuff for the future, nothing is set in stone yet but we definitely sat down and talked about building on some other stuff, having it be something for me and having it be something for him. It seems like the world likes hearing our voices together so it ain't a problem for us to get back in and do some stuff. Definitely.

Ne-Yo is an award-winning producer/writer/singer who has sold platinum albums and penned hits for Rihanna, Beyonce, Leona Lewis and has collaborated with Game, Kanye West, Fabolous, Jadakiss, Ghostface Killah and more.

MCHEZA FILAMU MAARUFU NCHINI MAREKANI MEAGAN GOOD


MWANA DADA ..MEAGAN AKIWA NIGHT NA MASHOGA ZAKE SIKU Y JUMANNE KULE MJI WA UKWELI LOS ANGELES NCHINI HUMO ..

Actress, and occasional film producer, Meagan Good was spotted leaving the club with some friends on Tuesday night in L.A.

SWAGGA YETU MPYA HITS FM RADIO


Ebana wagga mpya ya blog yetu nihii hapa..kazi zote za blog anashughulikia...kaka..SWAGGALICIOUS a.k.a Dwillz Mvubuka Allstar..kama unampangowa kupiga matangazo na sisi.kipitia blog.check na swagga ...kupitia dreadwilly@gmail.com au vile vile mgongee fon kupitia 0716-417713

HABARI TOKA BONGO MWEZI HUU

MARA NYINGI MAPLAY BOY HUTUMIA KINGA, NIKKI MBISHI NIAJE?

Wiki moja baada ya kudondosha ngoma aliyoiita Play boy na ndani yake kuelezea misimamo yako kwamba hawezi lala na dem mmoja mara mbili, rapa Nicky Mbishi amepata mtoto wa kiume.

Mtoto huyo amezaliwa siku moja na `tupac shakur yaani siku ya jana tarehe 16/ June
Leo asubuhi Nicky alituma msg kwa Dozen na msg yenyewe inasomeka kama ifuatavyo:-
Niaje Dozen? Yesterday was the day Tupac was born but 4hrs after you announced that my baby boy and my first born Malcom was born 2, so Nicky Mbishi is also Malcom’s Daddy… good Morning!

nikki amezaa na msichana wake ambae pia anasoma nae chuo kimoja kinachoitwa Mbeya Institute of Science And Technology.
KUTOKA BLOGUNI NAKUPA HONGERA SANA KUTULETEA KICHWA KIJACHO CHA HIP HOP.
Posted by djfatty at 4:05 AM 0 comments
DARK MASTER ; NIMEKAMATA COPY ZA KAZI ZANGU MWANZA

leo hii darkmaster aka mwanachemba toka Chemba samenitumia sms akidai kukamata baadhi ya copy ya kazi zake pamoja na kazi za washkaji zake zikiuzwa jijini mwanza.kazi yake hiyo ambayo sio orignal ni wimbo wake unaoitwa "NISIKILIZE"
Posted by djfatty at 3:01 AM 0 comments
Wednesday, June 16, 2010
HATIMAE BET AWARDS KUTUA AFRICA

Tuzo za BET itakuja kuleta gumzo na battle pia kwa upande wa Africa katika category mpya iliyotupiwa pale kati " BEST INTERNATIONAL ACT" na waliochaguliwa kushindaniwa ni Hip-Hop Panstula (South Africa), P-Sqaure (Nigeria), K’NAAN (Somalia), M.I (Nigeria), Estelle (UK), Kojo Antwin (Ghana), Sade (UK/Nigeria), Chipmunk (UK), Dizee Rascal (UK) na Corinne Bailey Rae (UK).

hongera kwa wote walichaguliwa ikiwa ni pamoja na K' NAAN representing home country, know what i mean?

BET AWARDS ZINATARAJIWA KUFANYIKA TAREHE 27 MWEZI HUU
Posted by djfatty at 6:58 AM 0 comments
ITS A BOY KWA NAAZIZ...HONGERA

Hongera kwa first lady wa Necessary Noize Nazizi ambae amejifungua mtoto wa kiume siku ya tarehe 13 june aliempa jina la TAFARAI.
pamoja na hilo lakini mwanadada alikuwa tayari kasharecord album for the future na sasa ndio wakati wake, atadondosha singles pamoja na video. HONGERA SANA DADA.. nakutakia maisha mema pamoja na mtoto wako
Posted by djfatty at 6:50 AM 0 comments
CHIDI BEENZ NA MZEE YUSUPH ULISHAISKIA HIYOOO

kaa tayari kwa collable ya msanii bora wa hiphop 4 years mfululizo CHIDI BEENZ na MZEE YUSUPH haijapatiwa jina bado soo, stay tuned.
Posted by djfatty at 3:08 AM 0 comments
Tuesday, June 15, 2010
THE SWEETEST PIPI KADONDOSHA PINI JIPYA

pipi ameachia pini jipya very lovely song jina FIRST TIME. sikiliza hapo juu
Posted by djfatty at 4:48 AM 0 comments
UTAFUTAJI MWINGINE WA NGAWIRA SIO JAMANI....



watu hawa walikuwa wakijaribu kuiba nyaya za umeme

They were trying to pull a hot 132,000 volt copper wire out of a conduit. Note the bolt cutter and the copper wire on the ground
Posted by djfatty at 4:36 AM 0 comments
Monday, June 14, 2010
WANAUME TMK NDANI YA TIGO COCO BEACH PARTY HATAAAARII





Timu ya wanaume family on the staaaaage
Posted by djfatty at 3:21 AM 0 comments
Saturday, June 12, 2010
Ngosha ze swagga Don LYRICS

ntro
Fid Q: So Swagtastik!!!
Naj: Ngosha ze Swagga Don x4
Verse 1:
(Fid Q)
Mc’z wanaenda down, ka Zim(babwe) dollars/
Mie sio bling, mie culture ka ZEMKALA/
Da brightest thang shining next to a diaMOND/
Niite Ghost Writter ninapo Blaze ka AMO/
Mara nyingi mie nina bahati kama Lotto Machines/
Si mtu wa adventures kama Frodo kwenye Lord of the Rings/
Niite Roscoe, ninapoSPEAK in Tongues ka Jenkinz/
Don kama Bosco, Mad kama Ice Helsink/
Unataka Bed fight? Mie nina King size na French fries kwa Breakfast/ T- bone stake na PRISON BREAK kiGangstar/
Tattoo plan kama Michael Scolfield/
Bruce lee wa Rap ya Africa, Rock city naigeuza Rap City/
Nina Gucci Lips namaanisha ziko Brown/
Materialistic wanapenda niwe around/
Sexy & Single na pia hufurahi nikiwa FREE/
Nilipenda 3 sum zaidi ya unavyoipenda track hii/
Trust me, ninahitaji wife and some gorgeous Kids/
Seen, mie sio bogus we una dance ka Lotus juu ya hii beat/
Mashairi kwangu Pipi, nayagawa ka Santa Claus/
Kazi na Dawa Marco puff 3 kitu BOUNCE/
Mademu hawapendi kuona unavyomdiss FID/
Wote nawaita Candy sababu they’re so SWEET/
I’m so 2010 sihitaji Pad or Pen,u so 2000 and late/
Na haulipuki ka Bin Laden/

Chorus:
( Naj) Ngosha ze Swagga don x8
2nd Verse:
(Fid Q) My Mama.. didn’t raise no Fool/
Ninavyo Bust a Rhyme… wananiita Leader wa new School/
Ngosha ze SWAGGA DON.. Uh uh usinidownload/
Hapa utapata ladha expensive zaidi ya iPhone/
Mie sio Superstar ni International I con/
I’m Internationaly known kama Tyson/
Flow iko so Universal kama yvone, CHAKA CHAKA/
Ladies and Gentlemen ni Rappers Rapper hapa/
Naweza kwenda Quick kama ROCKA nikawatisha kisha mkaa ‘’ We Love you FIDQ’’ U deserve girls… Q yuko stronger ka playa wa Baseball au Wrestling/ usiniite Paper Chaser mie nina Chase Dreams/
Kama una Pesa Jenga kabla haujaanza Pimp Rimz/
Jikomboe kama wanaojiunga na X treme/
Drive with care, coz Life has no Spare/ na piiiiiiiiaaaaaaa…,.
‘’ THEY SAY IM COOL LIKE FIRE & AND IM HOT LIKE ICE OH UYEAH… U FEEL WHAT I SPEAK COZ I SPEAK WHAT I FEEL OH YEAH’ X2

SING IT!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Posted by djfatty at 4:23 AM 0 comments
Thursday, June 10, 2010
KUTOKA TONGWE RECORDS, J RHYDER DOING WHAT HE DOES BEST

Huyu ndie producer J RYDER kutoka tongwe recrds pini kibao kesha zigonga,nothing ya joss mtambo, jos+jos ya joslin na jose mtambo na zingine kibao
Posted by djfatty at 4:29 AM 0 comments
SHIRIKI LIVE NDANI YA KIPINDI CHA BONGO FLEVA JUMAMOSI HII


KAMA UNADHANI WEWE NI SHABIKI MKUBWA WA MMOJA KATI YA HAWA WASANII WAWILI AY AU MWANA F.A. TUMA JINA LAKO NA MSANII UMPENDAE KATI YA HAWA WAILI KUPITIA fatty1020@gmail.com au cloudsfleva@gmail.com NA UTAPATA NAFASI YA KUSHIRIKI SHINDANO LIVE KUPITIA KIPINDI CHA BONGO FLEVA JUMAMOSI HII KWA KUJIBU MWASWALI YATAKAYOKUWA YANAMUHUSU AMA KUMUONGELEA SHABIKI HUYU ULIEMCHAGUA.

HAKIKISHA UNAMFAHAMU VILIVYO NA MAMBO MENGI KATIKA SAFARI YAKE YA MUZIKI.
Posted by djfatty at 3:50 AM 0 comments
LETTER TO THE BOSS AS WORLD CUP KICK OFF CLOSES IN



DEAR Sir/Madam

I wish to let you know that the FIFA World Cup is about to begin. This is not just any other tournament, it's the World Cup! Please note that
this tournament takes place every four years and a month to finish, i.e. from 11th June to 11th July for this year. During this period take note of the following:
1. I will be knocking off earlier than usual in order to watch the kick off of the first game.

2. Do not be surprised if I report a little bit late every morning, it will depend on the time the last game finishes.

3. Production will go up during this month as almost all employees will be happy and highly motivated (Check Maslow's Motivation Theories with Human Resource).

4. I know you are into other boring sports like golf, cricket, bowling, etc.Please if you want to fit in the work environment for the next one month,

try to know something about soccer, even asking a foolish question like"

Is Malawi playing tonight?" that is if you really want to fit in, or else no one will be a loner for one full month.

5. Greeting each other in the morning will change from "Good morning" to "How was the game last night?"

6. I will not accept to work overtime during this period as no amount of money can buy me to miss a game. Therefore make sure you don't give me any work after 16:30hours.

7. I will need to be up-to-date with the latest; therefore the first one hour

every morning is for accessing sports websites and other updates on the internet and also chatting with friends on phone.

8. Lastly, please do not think you can fire me should you decide to break any of the above rules as you will have to fire everyone.

Thank you for your understanding.

Yours faithfully,


Soccer Crazy Employee


Cc: -Management
-Union
-Human Right Consultative Council (HRCC)
-International Labour Organisation
-United Nations Council for Human Rights
-FIFA
Posted by djfatty at 3:24 AM 0 comments
WATENGWA WA WANAUME HALISI WAANZISHA KUNDI LAO


kundi la Wanaume lililotengwa kutoka kundi la TMK Wanaume Halisi

Kampuni ya Mpo Afrika imetangaza kusaini mkataba na kundi jipya litakalokuwa likiitwa Wanaume, likiundwa na wanamuziki walioachwa katika kundi la TMK Wanaume Halisi.

Akizungumza msemaji wa kundi hilo mapema leo ndani ya ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO,Hassan Umande alisema lengo la kuunda kundi hilo jipya ni kwa ajili ya kuendeleza sanaa na kuleta mabadiliko katika anga ya muziki wa kizazi kipya aka bongofleva hapa nchini.

"Mnajua waandishi, kiukweli kuna vikwazo vingi vilitokea mpaka tukaamua kujitenga ,yote hiyo kuepuka migongano ambayo kimsingi si ya lazima kwa sababu sote ni vijana na tunatafuta maisha,kwa hiyo kwa sababu tumetengwa basi tumeamua kuunda kundi la watu sita"'amebainisha Hassani Umande.

Hassani amewataja wasanii watakaounda kundi hilo kuwa ni Athuman Yahya (A.Man), Juma Mbelwa (Juma Jazz), Karim Kaiman (Kakaman), Abdul Ally (Mzimu), Richard Shauri (Rich One) pamoja na David Mpangile (Daz-p).

Alisema mpaka sasa wamesharekodi nyimbo tatu ikiwemo, mapenzi kitu gani?, Poa tu pamoja na Mukide.
haya sasa tuna wanaume halisi, wanaume tmk, na wanaume kazi kwenu mashabiki. tehe tehe tehe. habari kutoka kwa michuzi
Posted by djfatty at 3:03 AM 0 comments
BRAND NEW VIDEO..MAMANTILIE / USWAZI FEAR RAY C
Posted by djfatty at 2:37 AM 0 comments
Wednesday, June 9, 2010
HAPPY BIRTHDAY BIG BOSS JOSEPH KUSAGA 9TH JUNE

happy birthday big boss JOSEPH KUSAGA


MA KILA KINGA FLENGWA


reuben Ndege
Posted by djfatty at 6:06 AM 0 comments
UWANJANI JANA ILIKUWA NOOOUUUWMAAAAA

whats up.yes ilikuwa ni full ki tz hata kama tulijua lazima tuchapwe.SIO MBAYA SANAAAAA Brazil 5 Taifa Stars 1

fe'eh, b12 na petty man

fe'eh na b12

kuelekea goli la upande wa brazil
Posted by djfatty at 3:55 AM 0 comments
Tuesday, June 8, 2010
MSHINDI WA S&S APATIKANA NA WAWALI KUJULIKANA MIEZI MIWILI IJAYO

meck 4 real amshindi wa reord desl ns S&S record
Posted by djfatty at 5:37 AM 0 comments
PRODUCER HERMY B AMELAZWA TMJ HOSPITAL

Producer kutoka B hits Harmy B leo hii amelazwa hospitali ya TMJ kwa ajili ya matibabu. chanzo changu kinasema hermy b inasezekana ikawa ni madonda ya tumbo ama kuna kitu kingine kinamsumbua maana anatapika na kuharisha damu kitu kinachoonyesha ndamu navoja kwa ndani.KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUTEMBELEA HAPA
Posted by djfatty at 4:02 AM 1 comments
Monday, June 7, 2010
MICHAEL ROSE APIGA COLLABE NA WATOTO WA MANZESE

crew nzima ya tiptop na michael ross
michael ross amefanya collable na tiptop connection ndani ya studio za B HITS pina linaitwa NITAKUOA

michael ross

michael ross akishow love na first lady wa tiptop connection mwanadafada keisher

president wa manzese na

kasim mganga

crew mzima ya tiptop na michael rose
Posted by djfatty at 5:55 AM 0 comments
PRODUCER BANO MIKONONI MWA MANEKE

Producer Bano, mnamkumbuka? Yule jamaa Aliyetengeneza wimbo wa am a gud Boy track ya kwake Nicky wa Pili,
Jamaa amerudi bongo kutoka masomoni nchini India na inavyosemekana baada ya wamiliki wa studio kibao hapa bongo kumgombea kama mpira wa kona, Hatimaye Bano ameangukia kwa AM records kwa Maneke.
Bano alikua akisomea Degree ya Biashara na kwa wakati huu yupo nchini kwa likizo.
bada ya kuongea nae Bano alisema kuhusu nani ataanza kufanya nae kazi bano akasema
mizuka ya kwanza kwanza itamuangukia Chiddy Benz
Posted by djfatty at 4:49 AM 0 comments
Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)
idadi ya watemb