Monday, June 21, 2010

LAURYN HILL KARUDI TENA

Mwana dada huyo ambaye alika mda mrefu kweli bila kusababisha ..this time around ametokea na ka lipua show la maana liitwalo..Harmony Music Festival..show lilikuwa California eneo la SANTA rOSA..kaimba ngoma moja iliyo shine sana miaka ya tisini..READY OR NOT..kwa nilivyo mcheck..umri umekwenda kidogo..na mapigo yake sasa ni ya kimazazaidi...lakini swali ni kwamba kwalove alio ipata huko califonia, ataweeza kuandaa mzigo mpya wa mwaka huu au mwakaani..? 


STORY KWA ENGLISH....



Ex- Fugee and sorely missed emcee Lauryn Hill decided to surprise fans with a concert at the 2010 Harmony Music Festival in Santa Rosa, Califormia.
The femcee performed some of her classic tracks including her breakout hit with The Fugees, “Ready or Not.”
In her second performance of 2010, Ms. Hill is still showing fans why we fell in love with her in the first place, now if we could get her to come out with a new album.

RIP: Former NBA Star Manute Bol Dies

MCHEZA kikapu miaka ya nyuma kwenye ligi kuu ya nchini marekani NBA..Manute Boi toka nchini sudan amefariki dunia.kumbuka kwamba ali set rekodi ya kuwa mchezaji mwenye urefu zaidi ya wote ambao wamesha wahi kucheza ndani ya NBA.mungu ailaze mahala pema peponi. ameen.

English version of the story..!!!!!!!!!....

Manute Bol -- best known for being one of the tallest players to ever play in the NBA -- died today, according to various reports.

Bol was hospitalized in Virgina back in May after suffering acute kidney failure.

Bol played in the NBA from 1985-1994 and was one of the best shot blockers in the league. Bol was extremely involved in charities in his native Sudan -- donating an estimated $3.5 million aid Sudanese refugees.

He was 47.

Saturday, June 19, 2010

GOMA JIPYA ..KUTOKA KWA BEENIE MAN NA CHAMELEONE LIPO TAYARI

BONGELA DUDE TOKA KWA WAKALI WAWILLI  TOKA BARANI AFRIKA WENYE MIONDOKO YA DANCEHALL LIPO TAYARI NA JOSE CHAMELEONE BAADA KUWA AMELIBANIA KWA MDA ..HATIMAE KALIACHIA..

LICHECK KUPITIA LINK HII HAPA

rapidshare.com

ZIFF YAONGEZA AWARD KWA WATANZANIA




Zanzibar International Film Festival (ZIFF) katika kuhakikisha inawapa nafasi watanzania ya filamu nchini imeamua kuongeza changamoto zaidi, kama awali ZIFF ilipoamua kufanya Swahili Day kwaajili ya kuonyesha filamu za kitanzania tu na sasa imeamua kuongeza changamoto nyingine.

Siku ya Swahili Day itakua ni tarehe 17 Julai, 2010 ambayo pia ni siku ya kutoa tuzo za ZIFF. "Tumeamua kuongeza kitu katika siku hii ili kuweza kuwazuta zaidi watengeneza filamu wa kitanzania, ili wajue jukwaa hili ni lao na pia ZIFF inawajali sana"- Daniel Nyalusi, Meneja wa Tamasha.

ZIFF itatoa tuzo kwa Filamu Bora ya kitanzania na pia Tuzo ya muigizaji bora (Best Tanzania Feature Film and Best Tanzanian Actor/Actress), hii ni katika kuleta changamoto mpya kwa kiwanda cha filamu Tanzania.

Tutatoa ratiba ya filamu zitakazo oneshwa siku hiyo na pia zitaingia moja kwa moja katika kinyang'anyiro cha tuzo hizo. Mpaka sasa filamu zitakazo kuwemo ni Huba, Nani, Usaliti na Happy Caples, Pay Back, Black Sunday, Babra na zingine nyingi ambazo zitagombea tuzo hizo. Filamu hizi ni zile ambazo zimeingia katika kundi la filamu za kitanzania.

Kuna filamu zingine za kitanzania ambazo zimeingia katika kundi la filamu zate katika tuzo za ujumla kwasababu ni fupi ama zimefanywa na watanzania kwa kushirikiana na watu wa nje ndio maana haziwezi kuingia katika kundi hili kama vile Twiga Stars, Ndoto ya Zanzibar, Nipe Jibu, Marafiki, Wanawake 8, Mwamba Ngoma, Stowaways, Tuna Haki na filamu amabyo nimeongoza mimi lakini nimefanya na watu wa Denmark inaitwa Home To Mother.

Tukumbuke Tamasha la Nchi za Jahazi
linaanza tarehe 10 Julai na kuisha 18 Julai, 2010

BABY IN LIFE BRINGS RESPONSIBILITY..HOORAY NAZIZI..

Mtoto Akipatikana uwa majukumu kuongezeka kwa kasi . ndio kitu ambacho tume kiona lakini kwa mwana dADA HUYU ANasema kuwa yeye itakuwa tofauti coz ataendelea kutupa ngoma kama kawa..lakini vile vile anasema ita take time kidogo kuzoea mazingira ya kuwa mama. Nazizi toka nchini Kenya anaye unda kundi la Necessary Noise na Wyre,Pamoja na lile la East Africa Bashment Crew ...... amejifungua hivi karibuni baada ya kuolewa kwa siri kwa zaidi ya miaka 2 sasa huku siri hiyo ya kuolewa kwake ilikua inajulikana kwa watu wake wa karibu wa familia tu...!

HONGERA DADA..

POLE SANA MWANA DADA MWENZETU HAPA HITS FM RADIO

mtangazaji wa HITS fm kupitia kipindi cha AMKA AFRIKA na msisimko wa pwani, RABIYAH NASSOR amefiwa na MAMA yake mzazi JANA TAREHE 18 mwezi wa SITA na msiba upo kwao sinza na mazishi yatafanyika mkoa wa tabora NZEGA.kesho saa .... za jioni .MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU. AMEEN

Friday, June 18, 2010

KIM KARDASIAN NA JUSTIN BIEBER PWANI....


Alie kuwa mke wa mcheza mpiira(american football) nchini marekani na mwana mitindo..Kim kardashian. juzi kati, kamua kula good time na dogo anaye kimbiza ilimwengu kwa sasa .bwana mdogo toka nchini canada Justin Bieber ndio kala shavu la kutoka naye mwana mitindo huyo kwenda kula good time pwani moja huko nchini marekani..lakini Kim jamani..!!! haka ka jama mbona bado kadogo sana....na kuogelea huko ..si balaa!!!!!!