Tuesday, August 16, 2011

MAMBO VP WADAU WA WAKALI MTWARA?

Duh jamani ni siku mingi sana hatujafanya mambo lakini ni kutokana na majukumu yametubana sana,ila tunashukuru mungu kwakuwa wazima wa afya na mambo yanaenda,mchox tanzania kwa sasa nimehamia dar kikazi tu ndy mana hatuonani na hata kipindi changu anafanya mtu mwingine,
niko kigamboni naishi na wadau hapa nashukuru wamenipokea na mambo yanaenda sawa,

Tuesday, June 7, 2011

HAPO VI[PI?

BMW PUB IMEFUNGULIWA,KAZI KWETU JAMANII!

Ni pub ya wajanja wa hapa town,iko maeneo ya uwanja wa nangwanda au tucheki kupitia 0718344400/0654610561.
kaunta yetu iko poa sana kila aina ya kinywaji utakipata,pia msosi
 - chips,mbuzi,kuku.ndizi,supu,na madikodiko.



karibuni sana mje kuona tofauti na sehemu nyingine.

Monday, May 16, 2011

WATOTO WA SAFARI KWA VITUKOOO

wakali wa midmorning na grooving
mj,mkali bala
 huyooooooo
 hapa vipi jamani iko poa
 mara 1 kwa mwaka si mbaya jamani,hapa siachi kituuuu!!!!!!!
Mpe nyonyoooooooo mwanao blazaa

MZUKA WA MAKONDE BEACH CLUB


asikuambie mtu,sisi week end ina anza alhamisi kwa usiku wa taarabu pale makonde beach,ijumaa kama kawa fresh friday na kazi ipo j moss yani ni hatari sanaaaaaaaaaaaaaa

MAMBOZ WADAU WETU?

nianze kwa kuwapa pole,jamani nilibanwa na majukumu ya kiofisi na family pia,
ila tuku pamoja sana

Friday, April 22, 2011

23 HIYOOOOO KAZI KWETU WAKAZI WA KUSINI.

tulihesabu mwezi,tukahesabu wiki ,siku na sasa tunahesabu masaa,
nani kutwaa taji la miss mtwara mjini kwa mara ya kwanza mtwara tanzania,
tiketi hizoooo zimebaki chache sana tuwahi wanawaneeeeeeeeeeeeeeeeeee,
 hawa ni washiriki wa miss mtwara mjini,majaji kazi kwenu.
 hayaaa,1,2,3,?????????????????

 wakiwa katika mazoezi ya mwisho kabisa
 utachagua mwenyewe wapi patakufaa mana kila sehemu pazuri
 huu ndiyo mjengo wa makonde beach club
wale wa V.I.P nafasi zao ni hizi hapa
 hapa ni viti vya kawaida tsh 10000/= kwa 15000/= getini
 tuko beach kabisa jamani,hapa tuko ndani, yani uso kwa uso na bahari ya hindi
 upepo wote wa bahari wetu



kwa wale ambao hawajawahi kabisa kufika makonde beach club aisee,sihitaji kusema sana ila we mwenyewe fika ijumaa uone maajabu ya tanzania,



SAFARI RADIO BURUDANI NDIPO ILIPOZALIWA