Friday, April 22, 2011

23 HIYOOOOO KAZI KWETU WAKAZI WA KUSINI.

tulihesabu mwezi,tukahesabu wiki ,siku na sasa tunahesabu masaa,
nani kutwaa taji la miss mtwara mjini kwa mara ya kwanza mtwara tanzania,
tiketi hizoooo zimebaki chache sana tuwahi wanawaneeeeeeeeeeeeeeeeeee,
 hawa ni washiriki wa miss mtwara mjini,majaji kazi kwenu.
 hayaaa,1,2,3,?????????????????

 wakiwa katika mazoezi ya mwisho kabisa
 utachagua mwenyewe wapi patakufaa mana kila sehemu pazuri
 huu ndiyo mjengo wa makonde beach club
wale wa V.I.P nafasi zao ni hizi hapa
 hapa ni viti vya kawaida tsh 10000/= kwa 15000/= getini
 tuko beach kabisa jamani,hapa tuko ndani, yani uso kwa uso na bahari ya hindi
 upepo wote wa bahari wetu



kwa wale ambao hawajawahi kabisa kufika makonde beach club aisee,sihitaji kusema sana ila we mwenyewe fika ijumaa uone maajabu ya tanzania,



SAFARI RADIO BURUDANI NDIPO ILIPOZALIWA

No comments:

Post a Comment