Tuesday, April 19, 2011

WAJANJA WOTE WA MJINI HAPA NDIPO TUNAKUTANA KUPIGA MENU

kwanza mandhari inavutia ile mbaya,pasafi sana na menu ni ya uhakika kisawasawa,na kinachonifurahisha sana utamkuta mkurugenzi anamenya viazi kusaidia huduma ziende haraka haraka.
NI NUSRA CATERING,pale maeneo ya saut utapata mapochopocho ya mjini hasaa,ila wanapokea order za chakula km una sherehe au seminar wapigie kwa namba 0713466489 utapata unachokusudia.

 kazi ni kazi tu hakuna kuremba,mkurugenzi wa nusra akiwa mzigoni,pembeni na maji ya makonde
 hapa ndipo misosi ya ukweli inapopatikana
KARIBU NUSRA CATERING KWA HUDUMA BORA ZAIDI

No comments:

Post a Comment