Wednesday, April 13, 2011

23 YA MWEZI HUU NI SIKU YA MTIKISIKO MKUBWA MTWARA!!

kile kinyan"ganyiro cha kumsaka mrimbwende wa mtwara mjini sasa wakati umewadia,
ni tarehe 23 mwezi huu pale MAKONDE BEACH CLUB
ni tukio la kihistoria sana,kwa mara ya kwanza kufunyika mtwara,mbali na kumsaka mrembo wa mtwara mjini kutakua na show kali ya msanii wa kimataifa,ALLY KIBBA,atakuwepo kupiga bonge moja la show ya hatari sana siku hiyo,
si tukio la kukosa hata kidogo kwani kingilio ni poa sana na huitaji sana kuwaza usafiri kwani unaweza kutembea hata kwa mguu,



                                                      moja kati ya sho za kiba
                                                          jamaa utadhani joe thomas
 
burudani itakua hapa jamani,msishangae hii miti,hapa tulikua hatujamaliza ujenzi jamani.
                                                HIZI NDIYO SWAGA ZA 89.9 SAFARI FM .

No comments:

Post a Comment