nani kutwaa taji la miss mtwara mjini kwa mara ya kwanza mtwara tanzania,
tiketi hizoooo zimebaki chache sana tuwahi wanawaneeeeeeeeeeeeeeeeeee,
hawa ni washiriki wa miss mtwara mjini,majaji kazi kwenu.
hayaaa,1,2,3,?????????????????
wakiwa katika mazoezi ya mwisho kabisa
utachagua mwenyewe wapi patakufaa mana kila sehemu pazuri
huu ndiyo mjengo wa makonde beach club
wale wa V.I.P nafasi zao ni hizi hapa
hapa ni viti vya kawaida tsh 10000/= kwa 15000/= getini
tuko beach kabisa jamani,hapa tuko ndani, yani uso kwa uso na bahari ya hindi
upepo wote wa bahari wetu
kwa wale ambao hawajawahi kabisa kufika makonde beach club aisee,sihitaji kusema sana ila we mwenyewe fika ijumaa uone maajabu ya tanzania,
SAFARI RADIO BURUDANI NDIPO ILIPOZALIWA
No comments:
Post a Comment