Friday, April 22, 2011

23 HIYOOOOO KAZI KWETU WAKAZI WA KUSINI.

tulihesabu mwezi,tukahesabu wiki ,siku na sasa tunahesabu masaa,
nani kutwaa taji la miss mtwara mjini kwa mara ya kwanza mtwara tanzania,
tiketi hizoooo zimebaki chache sana tuwahi wanawaneeeeeeeeeeeeeeeeeee,
 hawa ni washiriki wa miss mtwara mjini,majaji kazi kwenu.
 hayaaa,1,2,3,?????????????????

 wakiwa katika mazoezi ya mwisho kabisa
 utachagua mwenyewe wapi patakufaa mana kila sehemu pazuri
 huu ndiyo mjengo wa makonde beach club
wale wa V.I.P nafasi zao ni hizi hapa
 hapa ni viti vya kawaida tsh 10000/= kwa 15000/= getini
 tuko beach kabisa jamani,hapa tuko ndani, yani uso kwa uso na bahari ya hindi
 upepo wote wa bahari wetu



kwa wale ambao hawajawahi kabisa kufika makonde beach club aisee,sihitaji kusema sana ila we mwenyewe fika ijumaa uone maajabu ya tanzania,



SAFARI RADIO BURUDANI NDIPO ILIPOZALIWA

Tuesday, April 19, 2011

WAJANJA WOTE WA MJINI HAPA NDIPO TUNAKUTANA KUPIGA MENU

kwanza mandhari inavutia ile mbaya,pasafi sana na menu ni ya uhakika kisawasawa,na kinachonifurahisha sana utamkuta mkurugenzi anamenya viazi kusaidia huduma ziende haraka haraka.
NI NUSRA CATERING,pale maeneo ya saut utapata mapochopocho ya mjini hasaa,ila wanapokea order za chakula km una sherehe au seminar wapigie kwa namba 0713466489 utapata unachokusudia.

 kazi ni kazi tu hakuna kuremba,mkurugenzi wa nusra akiwa mzigoni,pembeni na maji ya makonde
 hapa ndipo misosi ya ukweli inapopatikana
KARIBU NUSRA CATERING KWA HUDUMA BORA ZAIDI

KUELEKEA SHANGWE ZA PASAKA MZIGO UNAPIGWA IJUMAA KUU.

kwa kuhakikisha burudani iko sawa mtwara tutasherehekea ijumaa kuu kwa bonge moja la disco ndani ya litingi,kingilio ni tsh 3000/= usafiri bureeeeeee,
DJ STREET WISE KWA MTAMBO,
wacha weeeeeeeeeeeeeee

Wednesday, April 13, 2011

23 YA MWEZI HUU NI SIKU YA MTIKISIKO MKUBWA MTWARA!!

kile kinyan"ganyiro cha kumsaka mrimbwende wa mtwara mjini sasa wakati umewadia,
ni tarehe 23 mwezi huu pale MAKONDE BEACH CLUB
ni tukio la kihistoria sana,kwa mara ya kwanza kufunyika mtwara,mbali na kumsaka mrembo wa mtwara mjini kutakua na show kali ya msanii wa kimataifa,ALLY KIBBA,atakuwepo kupiga bonge moja la show ya hatari sana siku hiyo,
si tukio la kukosa hata kidogo kwani kingilio ni poa sana na huitaji sana kuwaza usafiri kwani unaweza kutembea hata kwa mguu,



                                                      moja kati ya sho za kiba
                                                          jamaa utadhani joe thomas
 
burudani itakua hapa jamani,msishangae hii miti,hapa tulikua hatujamaliza ujenzi jamani.
                                                HIZI NDIYO SWAGA ZA 89.9 SAFARI FM .

Friday, April 8, 2011

WAFANYAKAZI WA SAFARI RADIO FM MTWARA WAHAMASIKA KUCHANGIA DAMU.

Wafanyakazi wa radio safari mtwara wahamasika kuchangia damu
kwa kuonyesha upendo na kuthamini mchango wa wakazi wa mtwara wameamua kujitolea kwa moyo mmoja

WAFANYAKAZI WA SAFARI RADIO MTWARA WAHAMASIKA KUCHANGIA DAMU.






wafanyakazi wa safari rd mtwara wahamasika kwa kiasi kikubwa ktk zoezi la uchangiaji damu  lililofanyika mjengoni kweeeeetuuuuuuuuuuuu shangani mashariki mtwara tanzaniaaaaaaaa

Saturday, April 2, 2011

ILI MRADI TUFIKE TUU!

hapo unasemaje nina gari au matatizooooo

MCHARUKO WA SHOW YA DIAMOND MTWARA



ijumaa ya apr 1 ndani ya blantyre kulikua na show kutoka kwa msanii wa muziki wa bongo fleva anaejulikana km diamond ,mcharuko ulikua wa kutosha sana na maua ya kumwaga mpaka baaaasiiiiii 

USISUMBUKE KUTAFUTA USAFIRI WA BAJAJI,PIGA 0714900808


Kwa wale watumiaji wakubwa wa usafiri wa bajaji tumia namba hii ya simu utampata kijana huyu anaitwa abbas a.K.a kama kawa,ni mtanashati na mstaarabu sana

Friday, April 1, 2011

HAWA NI MAPACHA?

DJ MCHOX a.k.a TANZANIA                              

 
   WATANGA a.k.a MEED The East..
 
Ni vijana machachari ambao wamezaliwa katila familia mbili
 tofauti ila si dhambi ukiwaita mapacha kwani japo hawafanani
kisura na umbo kama pacha wengi wanavyoonekana ila wanafa
nana kifikra,mawazo, utashi,misimamo,mipango,na misingi miku
bwa yakimaendeleo kama ndoto zao za kua MAMILIONEA katika
kipindi cha miaka michache ijayo.MUNGU AWABARIKI VIJANA
 HAWA''AAMIN''

MKALI KATI YA WAKALI WA WAKALI ENTERTAINMENT

AHMEED A.WATANGA a.k.a MEED The East
 Huyu ni mmoja kati ya wadau wakubwa wa WAKALI ENTERTAINMENT
 pia ni mtendaji mkuu wa shughuli za wakali entertainment,pia ni Mmiliki namba
moja wa kampuni ya BMW CONNECTION ambayo kwa kushirikiana na
WAKALI ENTERTAINMENT mpango mzima wa mambo ya kiburudani unakua
pouwa