X mwenye majina halisi Earl Simmons, aliwekwa ndani mwanzoni mwa mwaka huu mara baada ku vunja sharti ya probation yAKE kwa kutumia madawa ya kulevya tena. lakini asubuhi ya leo mkali huyo wa muziki wa hip hop ameachiwa uhuru toka gereza hilo.kwa kukumbusha ni kwamba ni gereza hili hilo ambao limetoa probation ya miaka 3 kwa mwana muziki mwengine nchini marekani anaetambulika kwa jina la LIL WAYNE a.k.a DWAYNE CARTER..wayne ata anza kifungo cha nje mara baada kutoka gereza la Rikers island jijini Newyork .
No comments:
Post a Comment