Tuesday, September 28, 2010

PFUNK NA AFANDE WAYAMALIZA MATATA YAO...

Wawili hawa walizungumza na kipindi cha HITS VIBE ZONE ..na wakasema kua hakukua na beef kama vyombo vingi vya habari vilikua vimesema hapo awali,espokua kulikua na kuto elewana katika pande zote mbili lakini ...lakini kwa sasa kila kitu kipo sawa coz wawili hawa wapo kama ndugu.pfunk anajianda na ziara yake ya nchi mbali mbali barani ulaya na amerika kati ka mda mfupi ujao..na pia pfunk kasema kua sasaivi mambo yamebadilika kidogo kutokana na mda wa kuka na kufikiria kabla ya kuachia kazi.na vile vile umri wake pia umemfanya awe na mtazamo tofauti na zamani...kwa upande wa Afande.amesema kuwa anamtambulisha  msani wake bwana Ballet wallet..ambaye amefanya naye kazi ya SUZI..


Wednesday, August 18, 2010

WYCLEF JEAN AMEJIFICHA BAADA KUPOKEA UJUMBE WA KUTISHIA MAISHA YAKE.

Mwana muziki wyclef jean tokea nchini Haiti ameingia chimbo isiojulikana pamoja na familia yake maara baada kupoke ujumbe unao mtishia maisha. inasemekana kua kuna watu walimtumia Wyclef ujumbe unao mwambia ahame faster kisiwa hicha cha Haiti kabla hawaja mfanyia kitu kibaya. kuna watu walisema kuwa haiwezekani mwana muziki huyo kuwania urais kwa kuwa haja kaa nchini humo kwa mda wa takribani miaka 5 mfululizo,lakini kwa upande wa msemaji wa Wyclef,amesema kuwa jama  ni mmiliki wa kituo cha television nchini Haiti na alikua analipa kodi zake za vizuri na alikuwa akirudi mara kwa mara nyumbnani.so hadi hapo ana haki zote za kuwania ubunge..
Hiyo ime onyesha waazi kuwa kuna watu ambao hawaja furahia nia ya mwana muziki huyo kugombea urais nchini humo. hadi sasa kuna wagombea zaidi ya 30 ambao wametangaza nia ya kuwania urais..miongoni mwa hawa yupo mjomba yake Wyclef.
lakini kwa sasa hadi atakavyo toka chimbo, hakijaeleweka kama ataendela na nia yake ya kuwania ubunge maara baada kupokea vitishio hivyo..

Monday, August 16, 2010

PROMOTER SADAT AMTOSA RAYC NA KWA SASA ANATAKA KUMPA DEALI K-LYNN

Promoter(Sadat Muhindi) alie mpa Ray c deal ya ku promote kinywaji kipya kiitwacho DASH ENERGY DRINK ndani ya nchi kenya.shavu la promo amelitupa kwa mwana dada mwengine K-LYNN..haya yote ni baada kuto elewana yeye na Ray-C .upande wa Ray-c anasema jama alimtaka ki mapenzi ,ndio maana hakukua na maelewano.lakini pia jama promoter Sadat,naye ana story yake tofauti..so inasemekana yeye (Sadat)na K-LYNN wapo kwenye mazungumzo ...deali la kupromote kinywaji hiki, lina mpunga wa kiasi cha million za kenya mbili nukta tano(2.5 million kshs)

THE KOKOMASTER aka DBANJ KUTUA NDANI YA JIJINI NAIROBI KWAJIRI YA CONCERT MAARUFU KAMA NAIJA NIGHT MWEZI WA KUMI..

mkali wa FALL IN LOVE toka nchini Nigerian anajulikana zaidi kama Dbanj..atakwepo kati ka usiku wa NAIJA NIGHT nchini humo mmwezi waku kumi (oktoba)..hayo amesema mwanzilishi wa usiku huo   Iyke Anok..ameogezea kwa kusema kuwa yeye na kampuni yake wapo kati ka jitiada nyengine ya kumpata mwigizaji maarufu GENEVIVE NAJI alie kuwa kwenye shooting ya wimbo  wa DBANJ "fall in love" aunganike na KOKO MASTER aka Dbanj ndani ya show ya usiku huo maarufu kama NAIJA night..

KIBA AUWA UVUMI WA KUWA ANA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA MWANAE RAIS WA SUDAN


uvumi huo ulianza kwenye mitandao mbali mbali kati ka nchi tofauti za africa masheriki..inasemekana kuwa mwanzo ulikua kule nchini kenya KIBA alivyo enda kuburidisha raia wa nchi hiyo..mwana dada huyoalivyo skia KIBA yupo pande hizo aka amua kumtimbia huko huko Nairobi...lakini KIBA ameweka wazi kua yule mwana dada sie mtu wake espokuwa ni marafiki na kipenzi chake.KIBA alikiri kweli alikuja Nairobi lakini kwa lengo la kuonane na rafiki yake ambae ni kipenzi changu..hAya yote KIBA aliasema akizungumza na chombo kimoja cha habari jijini Nairobi juzi kati.

Tuesday, August 10, 2010

LIL KIM NA NATURE KWENYE TRACK

BUSU LA SHAVU KUTOKA KWA KIM KWENDA KWA NATURE LIME ZAA MATUNDA..KWA SASA KUNA UVUMI KUWA NATURE ATALIPUA KITU CHA PUNCH NA MWANA DADA TOKA BROOKLYN NEW YORK.

Wednesday, August 4, 2010

HAPPY BIRTHDAY PRESIDENT OBAMA NA VILE VILE MAMA WA MSISIMKO ...SAMIRA SULEIMAN

Shavu la kutosha kwake samira suleiman kwa kuweza ku share birthday na mtu mzima rais wa Marekani  Barrack Obama..mtu mzima Obama anatimiza 49 wakati mwenzetu Samira anatimiza..mmm...mmmh....dah ! amekata kutoa umri wake bana...lakini yote sawa happy birthday kwenu nyote ambao pia mme zaliwa siku mhimu kama hawa wawili..