Wednesday, August 4, 2010

HAPPY BIRTHDAY PRESIDENT OBAMA NA VILE VILE MAMA WA MSISIMKO ...SAMIRA SULEIMAN

Shavu la kutosha kwake samira suleiman kwa kuweza ku share birthday na mtu mzima rais wa Marekani  Barrack Obama..mtu mzima Obama anatimiza 49 wakati mwenzetu Samira anatimiza..mmm...mmmh....dah ! amekata kutoa umri wake bana...lakini yote sawa happy birthday kwenu nyote ambao pia mme zaliwa siku mhimu kama hawa wawili..

1 comment:

  1. Halow guys how are you doing there naona manaongeza umri sana ukiongeza na kufa napo kunakaribia yeah i'm jorking guys actualy i celebrates my birthday two monthes ago are doing today parabems hongera in portugues i hope to see you soon i'm doing asalamx5 alekhum a gente seu mais tarde see you later in portugues.
    kambona hongera samira.

    ReplyDelete