Tuesday, March 29, 2011

'''BREAKING NEWZ'''SHOW ZA WAKALI ENT. KUANZA MKESHA WA PASAKA KWA KISHINDO

WALE WAKONGWE WA ENTERTAINMENT
''WAKALI ENTERTAINMENT''           ''SHANGWE ZA MKESHA WA PASAKA''
WAMERUDI KWA KISHINDO KIKUBWA SIKU YA MKESHA  WA PASAKA

MCHARUKO WA WEEK END HOME KWA WAKALI

week end hii ilikua nzuri sana kwangu na washkaji walopata nafasi ya kuja kunitembelea home kwangu ,



tulipika misosi ya maana na gambe la kutosha sana mpaka magari yakazima ,nashukuru tulifurahin sana na wageni wangu wali enjoy vyakutosha ila niliumia pacha wangu hakuwepo,pole brother (the east)

Thursday, March 24, 2011

BMW CONNECTION WANAJISHUGHULISHA NA NINI ZAIDI?

BMW CONNECTION ikishirikiana na kampuni mama ya WAKALI ENTERTAINMENT Iinasimamia shughuli zote za mambo ya burudani za muziki ikiwemo na:-
  *kutengeneza matangazo ya show(Flies na Posters)
   *kutengeneza matangazo ya sauti(JINGLES)
   *Kutengeneza Burners,Bangles
   *Kuprint T shirts
   *shughuli zote za graphics nk.
   *kukodisha musiki na ma DJZ

BMW CONNECTION Mtwara Town

BMW CONNECTION Mtwara Town
Ni kampuni iliyofunguliwa hivi karibuni mkoani Mtwara,kampuni hiyo inajihusisha na shughuli mbalimbali za kijamii na uchumi ikiwemo na:-
   -kusambaza vifaa vya maofisini(kwa order maalum)
        *printer
          *rim paper
            *pen
              *files
                 *
   -kuuza vifaa vya computer na computer zake              
              *Flash Disk
                 *Card Reader
                    *Hard Disk
                      *RAM
                        *Power cables
                           *MotherBord
                         
    -kuuza vifaa vya simu na simu zake
              *Housing
                  *Memory Card    -kutengeneza computer(computer maintainance)
                  *Betteries
                     *Charger

Wednesday, March 23, 2011

HAPPY B.DAY CAREN MCHOX

tarehe 24 ya kila mwaka huwa ni siku muhimu sana kwangu,huwa ni tarehe ambayo mtoto wangu kipenzi caren mohammedy mchokoleka A.K.A caren mchox tanzania alizaliwa tarehe km hii,


nampenda sana mtoto wangu na nitahakikisha anaishi vizuri kwa kumuombea kwa mungu ampe maisha mazuri kokote atakapokua,nami pia namjengea maisha mwanangu,chochote ninachofanya kizuri ni kwa ajili ya caren,nasema kizuri kwa sababu hakuna kibaya nachofanya kwa ajili yake,

Monday, March 21, 2011

BMW SHOP.

kwa mahitaji ya vifaa vya computer na computer zake,cds na dvds empty,flash,memory card,cds wallet,vifaa vya simu,betr,charger,housing,kuweka nyimbo kwenye simu na cd burning. pia tunatengeneza ring tone za simu kwa miito unayohitaji,tunatengeneza posters na matangazo ya redio,tunakodisha muziki,djs,mc.
0718344400/0654610561

BMW CONNECTION MTWARA TOWN.

BMW ni moja kati ya makampuni ya kijanja yanayo shughulisha na mambo yote ya entertainment pande za kusini,
chochote kinachohusu entertainment kwetu kinawezekana njoo upate maujanja zaidi,kampuni hii imezaliwa na mama anayeitwa wakali entertainment.
kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu maeneo ya bima pembezoni mwa uwanja wa nangwanda  mkabala na busati lodge au simu namba 0718344400/0654610561