tarehe 24 ya kila mwaka huwa ni siku muhimu sana kwangu,huwa ni tarehe ambayo mtoto wangu kipenzi caren mohammedy mchokoleka A.K.A caren mchox tanzania alizaliwa tarehe km hii,
nampenda sana mtoto wangu na nitahakikisha anaishi vizuri kwa kumuombea kwa mungu ampe maisha mazuri kokote atakapokua,nami pia namjengea maisha mwanangu,chochote ninachofanya kizuri ni kwa ajili ya caren,nasema kizuri kwa sababu hakuna kibaya nachofanya kwa ajili yake,
No comments:
Post a Comment