Sunday, November 1, 2009

ZIZZOU ENTERTAINMENT SASA NI HISTORIA KWA BUSHOKE


baada ya kutoka na album moja iliyokuwa na mafanikio akiwa chini ya lebo zizzou yaani zizzou entertainment, bushoke hayuko tena chini ya lebo hiyo.jana nilipata nafasi ya kuongea na mkuu mwenywe tippo amesema,bushoke hayupo tena katika lebo yangu na badala yake nimemsaini legendary zahir zoro ambae ni baba wa wanamuziki wawili wanaofanya poa pia katika gemu nawazungumzia maunda na banana zahir zoro.

No comments:

Post a Comment