Monday, March 21, 2011
MCHOX a.k.a TANZANIA AJA NA BONGE LA NGOMA.
Napenda kuwajulisha wadau wangu na wapenzi wote wa mchox tz kuwa nadondosha mzigo wa maana sana na nitaimba ijumaa siku ya show ya wanaume family pale litingi.
Monday, March 14, 2011
MZIGO WA BURUDANI UNAKUJA
kundi la muziki la wanaume family wakiongozwa na chege pamoja na temba,watafanya show ijumaa ya tarehe 25 mwezi huu pale litingi,kingilio sh 7000/=kwa kichwa,baada ya show disco kali chini ya madj toka safari radio fm.
Saturday, March 12, 2011
MICHANO MWANZO MWISHO
usiku wa ijumaa pande za blantyre kulikua na burudani toka kwa wana hip hop toka vyuo vyote vya mtwara,
michano ya hapo kwa hapo ifanyika na mshindi alipatikana,ilikua burudani ya aina yake
jimmy on line na rama toka chuo cha sauti ndiyo waandaaji wa mpango mzima.
big up sana wazeiyaaaaaaaaaaaaaa
michano ya hapo kwa hapo ifanyika na mshindi alipatikana,ilikua burudani ya aina yake
jimmy on line na rama toka chuo cha sauti ndiyo waandaaji wa mpango mzima.
big up sana wazeiyaaaaaaaaaaaaaa
TOP C LIVE LITINGI
msanii anayetamba na wimbo wake unaotamba hivi sasa,sababu ya ulofa ,leo usiku atapiga show ndani ya litingi .
pia nilipata tyme ya kufanya nae enterview mjengoni kwetu safari radio katika kipindi cha fresh friday.
pia nilipata tyme ya kufanya nae enterview mjengoni kwetu safari radio katika kipindi cha fresh friday.
Friday, March 11, 2011
MISS MTWARA MJINI YAJA TOKA SAFARI RADIO
kwa wale wadada wenye sifa za kushiriki mashindano ya kumsaka mrimbwende wa mtwara mjini,wakati ndy huu,fomu za kushiriki zinapatikana bure safari radio shangani mjengoni kwetu,au ukikutana na mchox unaweza muuliza chochote kuhusi hili,
hapa tulikua katika maandalizi ya mwanzo kucheki jukwaa letu km liko poa kwa ajili ya mazoezi ya washiriki,dj fax akiwa anajaribu kupiga catwalk za hatari
hapa tulikua katika maandalizi ya mwanzo kucheki jukwaa letu km liko poa kwa ajili ya mazoezi ya washiriki,dj fax akiwa anajaribu kupiga catwalk za hatari
Thursday, March 10, 2011
JIMMY ON LINE AJA NA SINGLE MPYA....
ilikua usiku wa kuamkia ijumaa katika studio za mchox,washkaji walikua wanapiga mavocal ya uhakika kuhakikisha mzigo uko poa
WADAU WAKUBWA WA WAKALI
jana nilitembelea ofsini kwa washkaji zangu ambao ni moja kati ya wakali entertainment nikawakuta wako busy sana,hongereni sana kwa ujenzi wa taifa
Subscribe to:
Posts (Atom)